Chukua fursa bibie.kila la heri
Ahsante kwa ushauri mkuu,tutazingatia wazo lako pia.Aisee wazo zuri sana! Nami ningependa kushiriki ila nimeshaweka "commitment" zangu katika kilimo nikiwa binafsi.Ila ushauri wangu Hapo kwenye mikoa ongeza mkoa wa MOROGORO na katika mazao yatakayolimwa ongeza zao la MPUNGA ambako huko Morogoro maeneo yanapatikana na mpunga unakubali kwa sana.Lakini pia Ushauri wangu mwingine siyo lazima mkaanza kwa kulima mnaweza pia kuanza kwa KUNUNUA MAZAO KUTOKA KWA WAKULIMA NA KUYAUZA BAADA YA KUYAONGEZEA THAMANI.
Kivipi mkuu?We ni chama gani?
For our future mkuu!!Kivipi mkuu?
Chama!!future!! sijakuelew bado kiongozi!!For our future mkuu!!
OK ok, tusije ambiwa hatujalipa kodi kwa miaka 10 wakati mradi wenyewe una miezi tisa, kisa eti tumemuunga mkono fulani kwenye urais.Chama!!future!! sijakuelew bado kiongozi!!
Ni pm namba zako mkuu tujue ni jinsi gan tutaweza kukutana mkuu.Nipo tayari