Mfanyabiashara Mwenza/Bussines Partner

Mfanyabiashara Mwenza/Bussines Partner

Aisee wazo zuri sana! Nami ningependa kushiriki ila nimeshaweka "commitment" zangu katika kilimo nikiwa binafsi.Ila ushauri wangu Hapo kwenye mikoa ongeza mkoa wa MOROGORO na katika mazao yatakayolimwa ongeza zao la MPUNGA ambako huko Morogoro maeneo yanapatikana na mpunga unakubali kwa sana.Lakini pia Ushauri wangu mwingine siyo lazima mkaanza kwa kulima mnaweza pia kuanza kwa KUNUNUA MAZAO KUTOKA KWA WAKULIMA NA KUYAUZA BAADA YA KUYAONGEZEA THAMANI.
Ahsante kwa ushauri mkuu,tutazingatia wazo lako pia.
 
Je ni lini hasa umetarajia kuanza rasmi ili niangalie uwezekano, otherwise good idea.
 
jembelamkono nimeshakupm no yangu...naomba uanze kunitext kabla hujanipigia
 
Back
Top Bottom