Mfanyabiashara na β€œlipa kwa simu” ni pete na kidole🀝

Hujataja eneo ulipo na gharama kama zipo.
 
Vipi suala la usalama? Mtu kalipa then kapiga simu kuwa kakosea namba?
 
𝐊𝐰𝐚𝐧𝐒𝐧𝐒 π‹πˆππ€ π§πšπ¦π›πš 𝐲𝐚 𝐯𝐨𝐝𝐚 𝐑𝐒𝐲𝐨 π₯𝐒𝐧𝐒 𝐲𝐚𝐀𝐞 𝐒𝐬𝐒𝐰𝐞𝐳𝐞𝐬𝐑𝐰𝐞 𝐌 𝐏𝐄𝐒𝐀?
 
Lipa no ya mitandao mingine vipi mfano

Airtel
Tigo
 
Vipi suala la usalama? Mtu kalipa then kapiga simu kuwa kakosea namba?
Hapo lazima wewe mwenyewe upewe taarifa kwamba hela inataka kurudishwa, na unaulizwa kama ulimuhudumia huyo mteja ukisema ndio basi haiwezi rudishwa SEMA HILI INABIDI NIKUELEZEE VIZURI KWA SIMU HEBU NICHEKI KWENYE 0765400947
 
Ukii
Ukiwezesha M-PESA itagoma maana yake ikija kutengenezwa itakuta laini tayr ina account ya hiyo M-PESA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…