Mfanyabiashara na β€œlipa kwa simu” ni pete na kidole🀝

Mfanyabiashara na β€œlipa kwa simu” ni pete na kidole🀝

LIPA NAMBA?πŸ€”
Ni line Maalumu ambazo hutumiwa na wafanyabiashara

LAINI hizi hutumiwa pia na Mawakala kwa matumizi ya kutoa pesa

Kwa wafanya biashara mfano Maduka, Mteja Anaweza kulipia bidhaa kwa kulipa kupitia simu na hii ndio sababu ya LAINI hizi kupewa jina la LIPA NAMBA
AU LIPA KWA SIMU

FAIDA YAKE
πŸ€—Line ya Lipa namba inakuwezesha kutoa pesa kwa wakala yeyote bila ya kuwa na makato YEYOTE
πŸ€—Line unauwezo wa kupokea pesa kutoka kwa mtandao wowote bila ya kuwa na makato ya ziada
😎line inauwezo wa kupokea pesa Hadi milioni 50 na wakati laini ya kawaida haiwezi kupokea kiwango kikubwa Cha fedha!!
πŸ”₯Unaweza ukahifadhia pesa zako
πŸ’ͺFAIDA KUBWA YA LIPA NAMBA NI KUTOA PESA BILA MAKATO YEYOTE

LIPA NAMBA NAIPATAJE
πŸ€”Lipa namba ya M-Pesa vigezo Ni:-πŸ‘‡
1. TIN number. Kama hauna utatengenezewa
2. Namba ya kitambulisho Cha NIDA
3. Line ya VODA sajiri zingatia LAINI ISIWEZESHWE M-PESA sajiri tu Kisha nipe namba

πŸ€™Nipigie kwa namba 0765400947 (Whatsapp,simu,Sms
🀞Ukiwa MWANZA naweza kukufata Ulipo

🀲KARIBUNI SANA
GHARAMA: 10,000Tshs
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
Vipi suala la usalama? Mtu kalipa then kapiga simu kuwa kakosea namba?
 
LIPA NAMBA?[emoji848]
Ni line Maalumu ambazo hutumiwa na wafanyabiashara

LAINI hizi hutumiwa pia na Mawakala kwa matumizi ya kutoa pesa

Kwa wafanya biashara mfano Maduka, Mteja Anaweza kulipia bidhaa kwa kulipa kupitia simu na hii ndio sababu ya LAINI hizi kupewa jina la LIPA NAMBA
AU LIPA KWA SIMU

FAIDA YAKE
[emoji847]Line ya Lipa namba inakuwezesha kutoa pesa kwa wakala yeyote bila ya kuwa na makato YEYOTE
[emoji847]Line unauwezo wa kupokea pesa kutoka kwa mtandao wowote bila ya kuwa na makato ya ziada
[emoji41]line inauwezo wa kupokea pesa Hadi milioni 50 na wakati laini ya kawaida haiwezi kupokea kiwango kikubwa Cha fedha!!
[emoji91]Unaweza ukahifadhia pesa zako
[emoji123]FAIDA KUBWA YA LIPA NAMBA NI KUTOA PESA BILA MAKATO YEYOTE

LIPA NAMBA NAIPATAJE
[emoji848]Lipa namba ya M-Pesa vigezo Ni:-[emoji116]
1. TIN number. Kama hauna utatengenezewa
2. Namba ya kitambulisho Cha NIDA
3. Line ya VODA sajiri zingatia LAINI ISIWEZESHWE M-PESA sajiri tu Kisha nipe namba

[emoji1690]Nipigie kwa namba 0765400947 (Whatsapp,simu,Sms
[emoji1696]Ukiwa MWANZA naweza kukufata Ulipo

[emoji2969]KARIBUNI SANA
GHARAMA: 10,000Tshs
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
𝐊𝐰𝐚𝐧𝐒𝐧𝐒 π‹πˆππ€ π§πšπ¦π›πš 𝐲𝐚 𝐯𝐨𝐝𝐚 𝐑𝐒𝐲𝐨 π₯𝐒𝐧𝐒 𝐲𝐚𝐀𝐞 𝐒𝐬𝐒𝐰𝐞𝐳𝐞𝐬𝐑𝐰𝐞 𝐌 𝐏𝐄𝐒𝐀?
 
Lipa no ya mitandao mingine vipi mfano

Airtel
Tigo
 
Vipi suala la usalama? Mtu kalipa then kapiga simu kuwa kakosea namba?
Hapo lazima wewe mwenyewe upewe taarifa kwamba hela inataka kurudishwa, na unaulizwa kama ulimuhudumia huyo mteja ukisema ndio basi haiwezi rudishwa SEMA HILI INABIDI NIKUELEZEE VIZURI KWA SIMU HEBU NICHEKI KWENYE 0765400947
 
Ukii
𝐊𝐰𝐚𝐧𝐒𝐧𝐒 π‹πˆππ€ π§πšπ¦π›πš 𝐲𝐚 𝐯𝐨𝐝𝐚 𝐑𝐒𝐲𝐨 π₯𝐒𝐧𝐒 𝐲𝐚𝐀𝐞 𝐒𝐬𝐒𝐰𝐞𝐳𝐞𝐬𝐑𝐰𝐞 𝐌 𝐏𝐄𝐒𝐀?
Ukiwezesha M-PESA itagoma maana yake ikija kutengenezwa itakuta laini tayr ina account ya hiyo M-PESA
 
Back
Top Bottom