Mfanyabiashara Said Mohammed Saad wa Home Shopping Center (GSM Foundation)

Mfanyabiashara Said Mohammed Saad

Utangulizi

Mfanyabiashara Said Mohammed Saad anamiliki Kampuni ya Home Shopping Center
Mfanyabiashara huyu ambaye ana uraia wa nchi mbili yaani Tanzania na Saud Arabia,
Report za Kipolisi nilizisoma kwenye thread humu Kuwa ni Raia wa Lebanon na si Mtanzania kwa maana hiyo...


Au Kuna kitu kinafichwa behind? na hiyo zawadi nono nadhani itakuwa imeongezwa na huyo jamaa navyojua mimi uwezo wa Serikali ni million kumi tu dollar elfu sita na ushee
 



kaka watu kama hawa ni wengi ktk nchi hii. watu tunaowategemea wawakamate watu wa aina hii, ndiyo hao hao wanaowalinda.watakamatwa na akina nani??????? hii hali inauma sana.
 
kesha pata dawa yake, akizidi kuendelea nguvu ya umma itamhukumu .
 
Hello...

Kweli lakini tunatakiwa kutafutachanzo cha haya matatizo yote
 
Ngpja nirnde kanisani kwanza nkasali.. nchi hii IMEOZA

 
Ndiye huyo aliyemwagiwa tindikali? JHe waliofanya hivyo walikuwa wanalipiza kisasi? Kama hayo ni kweli, basi hapo ndipo swala la udhaifu wa serikali unakuja tena. serikali ndiyo inayofanya raia wajichukulie sheria mkononi, jambo ambalo siyo zuri.
 
Kumbe alikuwa mbabe! Ndiyo tatizo la hela, pia watz tu wajinga sana, tunatukuza mtu mwenye pesa badala ya sheria
 
Badala ya kuanza kushambuliana wa JF tungeuliza maswali muhimu k.m. inakuwaje huyo jamaa ana uraia wa nchi mbili (duo nationality)? Immigration kazi kwao!
 
Hebu nikumbushe kuna kipindi aliombwa msamaha na baadhi ya media,alifanya nini??
 
"THAT'S MEAN IN SHORT, AMEIWEKA NCHI YETU MIFUKONI MWAKE"who's to blame! only CCM huyu mtu kumbe mnyama! smuggler,cheater,REAL WE DONT HAVE GOVT.
 
Huyo unaemtukana hivyo! Ameajiri watz kama 2000 kwa uchache!!
 
Utakufa kifo kibaya sana wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…