Mfanyabiashara Said Mohammed Saad wa Home Shopping Center (GSM Foundation)

Mfanyabiashara Said Mohammed Saad wa Home Shopping Center (GSM Foundation)

aitoshi Kusema Usitudanganye Mimi Naongea Facts TRA ni Taasisi ya Umma Yeyote ana Access ya kwenda na atapewa Taarifa kuhusu Tuhuma za Kodi Nendeni Mnaogopa Nini?,Mamlaka ya EPZ ipo Ubungo Pale Kuhusu Mradi wa Kiwanda cha UchinjajiSio Dhambi Nendeni Mkaulize!-Kama habari zenu ni za Kweli sio Majungu na Fitna za Kutumwa Nendeni Mkathibitishe Msemayo,Watu wanarukia Mambo pasina Kujua Undani na Kushuhudia utadhani wameona na Macho yao kumbe Umbea TuuuNdio Maana hata kwenye Sheria "USHAHIDI WA KUHADITHIWA/KUSIKIA HAUKUBALIKI..""HEARSAY EVIDENCE IS NO EVIDENCE AT ALL",Mtu anasikia Habari za Vijiweni tuu,Au Anaweka Thread humu na wamo Kwa KUTUMWA TU/CHUKI tuuu za Binafsi za Mafanikio ya Mtu,za Kibiashara Basi watu Wanarukia Kuhukumu utafikiri ni MIUNGU.-Kumbuka "USIHUKUMU usije KUHUKUMIWA"
 
Nchi kubwa kama Wingereza wameshindwa kuwakabili majambazi makubwa makubwa kama huyu ambaye anaonekana ameishinda nguvu serikali ya dhaifu. wenzetu wanatumia SOCA .... ....... ''SOCA tackles serious organised crime that affects the UK and our citizens. This includes Class A drugs, people smuggling, human trafficking, major gun crime, fraud, computer crime and money laundering.'' Hawa hawana sababu ya kukupeleka mahakamani ni sheria mkononi. Ooops unaongelea UK taifa kubwa .... ..... ..... ...

Je, sisi nchi ndogo kama yetu kwa nini tusiwe na chombo kama hiki ambacho kitakuwa kinalinda jamii ya Watanzania? Thubutu! sio wakati wa dhaifu maana yeye ni mfaidika mkubwa wa Mafisadi.

Kongoli http://www.soca.gov.uk/ uone vitu vyao .... http://www.soca.gov.uk/
 
We jamaa yangu ndo wa kuja kweli !
Teh teh teh teh!

Polisi post zetu hazina hata umeme!

NA vile vyoo vyao. Basi vya stendi ya bus vina afadhali!

Halafu we unaongelea eti! Tuanzishe chombo kama SOCA!

Sijui we unayaongelea haya ukiwa unaishi ndani ya bongoland!? Au uko Madagascar unavua samaki!?

Manake habari huwa hazifiki huko! Mpaka wapelekewe!

Teh teh teh teh teh!
 
Huyo sasa ameshakuwa ni kiongozi wa "mafia"
na sio mfanya biashara muungwana,ingefaa serikali ya
Tanzania kuchukua hatua kali kwa adui huyo wa taifa na
kutaifisha mali yake yote na kupokonywa uraia wa Tanzania
halafu asafirishwe kama hatahukumiwa.

Apelekwe wapi!?
We unapo tokwa povu bila kufikiri, unajua balaa itawakuta kina nani!?
Huyo jamaa kaajiri watz kama elfu kadhaa!
Wanapata rizki na familia zao!
Sasa watakula kwako huyo jamaa akiondolewa nchini?!

Leta mbadala. Sio unaongea kama umekunywa gongo la sh 150/= ! Mpaka ukachafua suruali!
 
Haya sasa,msome tena thread ya leo inayomuhusu huyu tajiri
 
TABIA Hii ya Kushabikia Maneno bila Facts sababu tu Watu Wamehusisha UFISADI bila kujali Facts imetucost hata Suala la DOWANSNI Jazba mtindo mmoja,Watu wametiwa Upofu,WANAHARAKATI,MEDIA,WANANCHI wanadanganywa,Oh Dowans Wezi,Mafisadi nk nk,Leo hii Mtambo Tulioambiwa wa OVYO,MZEE,RUSHWA ,Kampuni ya Kimarekani,RAIS WA USA TAIFA ambalo lina Vyombo Huru,Utawala wa Sheria Ulio Madhubuti na Lenye Uwezo wa Kiuchunguzi wa Hali ya Juu saaana Akaja KUZINDUA MTAMBO HUO HUO tulioanikizwa ni KINARA WA RUSHWA na kununuliwa nao-Tumeenda Mahakama za Kimataifa tumeshindwa,Tumeenda za Kwetu ili tuprove hiyo Rushwa Hakuna kitu!Rushwa&Ufisadi ni Mbaya na Upigwe Vita kona Zote lakin ni Ushetani Kuutumia kama Fimbo kupitia Mitandao,Vyombo vya Habari Kuumiza Washindani wetu Kibiashara kwa CHUKI NA HUSDA kuliko Uhalisia
 
We jamaa yangu ndo wa kuja kweli !
Teh teh teh teh!

Polisi post zetu hazina hata umeme!

NA vile vyoo vyao. Basi vya stendi ya bus vina afadhali!

Halafu we unaongelea eti! Tuanzishe chombo kama SOCA!

Sijui we unayaongelea haya ukiwa unaishi ndani ya bongoland!? Au uko Madagascar unavua samaki!?

Manake habari huwa hazifiki huko! Mpaka wapelekewe!

Teh teh teh teh teh!

Lazima uanze somewhere, hatuwezi kuwakumbatia watu wanao-filisi juhudi za Watanzania wengi ambao ndio walipaji wakubwa wa kodi. Hata kama ameajiri Watanzania millioni moja hicho kisiwe kigezo cha kufanya Brela kuwa choo chake. Au kugeuza Ikulu kuwa ndio sabule yake. Hata wakati wa mwalimu kuna watu walikuwa wanaswekwa ndani kutokana na dhuluma ya kuwafilisi walipa kodi. Hatuwezi leo hii kuwakatisha tamaa vijana wetu ambao wanajitahidi kuondoa umasikini. Juhudi za makusudi za serikali zielekezwe katika kuondoa organised criminals ambao wengi wamekula njama na wazawa. Bajeti ya kuanzisha SOCA ya Tanzania ni 0.2% ya pesa tunazopoteza kwa hawa vibaka.

SOCA officers can have the combined powers of police, customs and immigration officers. We also have a substantial range of tools and legislation to target criminals with – everything from the ability to recover assets through to Serious Crime Prevention Orders. We work with agencies and officials across the UK and all over the world to help us do our job and to help them do theirs.
[h=3]New ways of fighting crime[/h][h=3][/h][h=3][/h]We use traditional law enforcement methods – investigating, and arresting criminals. We also draw on innovative new approaches to prevent crimes from happening in the first place.

Here are some examples:

First class intelligence - we use all kinds of ways to gather the knowledge we need to know where, when and how to strike to best effect.

Monitoring serious career criminals - in some cases we watch them for life, to prevent them from continuing their criminal activities in prison or after release.

Hitting them where it hurts -

by taking criminals' cash and property. For many serious criminals, this worries them more than the prospect of going to prison.

Working in partnership - serious organised crime is a major problem that affects everyone every day, so we co-operate with law enforcement, public and private sector partners to counter it.

Worldwide operations - we go anywhere we need to when tackling criminal activity. For instance, a street drug dealer is just the last link in a chain that probably stretches to the other side of the world. So our activities aren't limited by borders.

Making it harder to commit crime - for example, passing on details of suspicious financial activities or forged identities to banks before frauds can take place. ..... ......

BTW Nipo Alaska hapa, summer ilianza mapema sana ... .... ooops Mapema chana ... ..
 
Lazima uanze somewhere, hatuwezi kuwakumbatia watu wanao-filisi juhudi za Watanzania wengi ambao ndio walipaji wakubwa wa kodi. Hata kama ameajiri Watanzania millioni moja hicho kisiwe kigezo cha kufanya Brela kuwa choo chake. Au kugeuza Ikulu kuwa ndio sabule yake. Hata wakati wa mwalimu kuna watu walikuwa wanaswekwa ndani kutokana na dhuluma ya kuwafilisi walipa kodi. Hatuwezi leo hii kuwakatisha tamaa vijana wetu ambao wanajitahidi kuondoa umasikini. Juhudi za makusudi za serikali zielekezwe katika kuondoa organised criminals ambao wengi wamekula njama na wazawa. Bajeti ya kuanzisha SOCA ya Tanzania ni 0.2% ya pesa tunazopoteza kwa hawa vibaka.

BTW Nipo Alaska hapa, summer ilianza mapema sana ... .... ooops Mapema chana ... ..

Nadhani wewe una vile vindoto vya mchana! Vindoto hivyo vibayaa! Na mimi nilikuaga navyo zamani! Baadae nikapona!
We unaenda mbaaaaali! Sijui SOCA sijui vitu gani!
Tazama TATAKURU! Nini lengo la kuundwa kwake na nini matokeo yake!?
Kuna sijui askari Kanzu! Sijui askari kibalagashia!
Kazi zao ni nini? Na wao wanafanya nini?
NJAA BABA!
Njaa mbaya nyie! Ohoooòo! Wacha kuuza nchi! Unaweza kumuuza hata mwanao!

Sasa badala ya sisi kufikiria kuziboresha hizi taasisi tulizo nazo KWANZA!
We unataka serikali itoe mapesa mengine kuanzisha taasisi ingine ambayo kitakacho badilika ni JINA TU LKN WATENDAJI WATAKUWA HAO HAO mbwa mwitu wenye njaa!

au jamaa yangu ulikuwa unafukuzia ka cheo flani ikianzishwa hiyo SOCA!
Ili na wewe ukamalizie ile nyumba yako ilioko chalinze??
 
/SIZE]

BTW Nipo Alaska hapa, summer ilianza mapema sana ... .... ooops Mapema chana ... .. [/QUOTE]

Sasa wewe Wacha1 na kuwa kwako huko kwenye wafuga mbweha!

Mpaka kila mtu umwambie??

Kwani wewe na anae kaa vingunguti tofauti yenu si masaa ya jua kuzama tu!

Tena istoshe uwanja wa fisi huko kwa hao walio halalisha uliberali hakuna!!
 
Last edited by a moderator:
We jamaa yangu ndo wa kuja kweli !
Teh teh teh teh!

Polisi post zetu hazina hata umeme!

NA vile vyoo vyao. Basi vya stendi ya bus vina afadhali!

Halafu we unaongelea eti! Tuanzishe chombo kama SOCA!

Sijui we unayaongelea haya ukiwa unaishi ndani ya bongoland!? Au uko Madagascar unavua samaki!?

Manake habari huwa hazifiki huko! Mpaka wapelekewe!

Teh teh teh teh teh!

/SIZE]
BTW Nipo Alaska hapa, summer ilianza mapema sana ... .... ooops Mapema chana ... ..

Sasa wewe Wacha1 na kuwa kwako huko kwenye wafuga mbweha!

Mpaka kila mtu umwambie??

Kwani wewe na anae kaa vingunguti tofauti yenu si masaa ya jua kuzama tu!

Tena istoshe uwanja wa fisi huko kwa hao walio halalisha uliberali hakuna!!

Oh oh oh oh hold fire aren't you the one who asked me where I live? Au unapoandika unakuwa umekunywa togwa? Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Wacha tabia za unguchiro au na wewe ni mojawao?

BTW kwa nini unapinga shirika kama SOCA lisiundwe Tanzania? Ukumbuke SOCA litakuwa chini ya wananchi na kuratibiwa na Bunge litamsulubu hata rais na hakuna sababu yoyote ya kutoa bajeti kwani bajeti yao itatokana na kazi yao. Jinsi wanavyowafilisi wale wanaojichotea mpunga wa walipa kodi nk. Pitia hiyo Website uji-update na new techno sio ubabaishaji wa dhaifu. CCM wamekubali majambazi yaongoze na yaendelee kuchota pesa za walipa kodi. i.e. Lowasa, Chenge et al.
 
tatizo lako ni majigambo!!
halafu kutuchanganyia lugha hatupendi!

hold fire my foot!
 
tatizo lako ni majigambo!!
halafu kutuchanganyia lugha hatupendi!

hold fire my foot!

Chacha unanionea Wivu? Mkulu kama mimi niko Alaska weye kwa nini unanionea gele, ulitaka niwe Madagaska kama weye, chijui madongo kwinama kule. Weye na upeo wako wote hutakuja kuishi Alaska khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee utabakia kuwatukuza hao mafioso wanaokutumia kama nguchiro kuja kupotosha umma wa wapenda haki na watetezi wa walipa kodi. Wacha SOCA ya kibongo ianzishwe muone cha mtema kuni.

Chacha kama ki-english kimekupiga chenga chi ubonyeze kitufe kikuandikie kiswahili. Alafu ati unachema kutuchanganyia lugha .... weye na nani?
Wacha uzandiki. Au ndio unaumia kumtima?
 
Haya ndio matatizo ya kukuzwa bila kumtambua baba!
Unakuwa huna adabu ya kuongea na wakubwa zako!
Halafu mtoto wa mtaani utamjua tu!
Anaishi na waliberali halafu anajisifu kuwa kapaaaata!
Au na wewe sio rizki tena!?
Manake nyie wakimbizi mkionjeshwa tu burgers! Mko tayari kwa lolote wanalotaka!

We tulia tu! Kiama inaanzia hukohuko!

Huku mabonde kuinama, bado tunaogopa mungu!
 
Chacha najua kwa nini umekazania Unguchiro wako. Wapi yule shehe aliyekuwa anawadanganya kila kukicha? Chi unaona ulimbukeni wako, wewe bado unafikiria burgers wakati huo ni mlo wa wapita njia kama wewe mkishaiba pesa za walipa kodi mnafunga safari ulaya kwenda kununua suti then mnazivaa wakati kuna joto la kukata na shoka.

Tatizo lako ni ulimbukeni sina shida na hilo. Then unasema ukubwa, nafahamu bado una ile nidhamu ya woga, hizo peremende wanazokupa hapo Magogoni zina mwisho the count down has started, watch this space!

BTW mimi sijisifu bali hapa nilipofikia huwezi kunifikia wewe pamoja na vimburu wenzako kama wewe ambao mnafikiri Tanzania ni mali yenu pekee, nafahamu ile kasumba ya kuchukuliwa utumwa bado haijawatoka kwenye kabila lenu ndio chababu tuna matatizo kwenye uongozi. Upeo wako wa kufikiri ndio umefikia kikomo hapo ulipo.
 
Majungu tuu na fitina ilovuka mipaka! Kama una ushahidi kwa nini usipeleke kunapohusika ili hatua za isheria zikafuatwa au unatumiwa na mshindani wake wa kibiashara?

Kwani kuna ubaya gani kutujulisha wana jamii. Ili endapo litafikishwa kunako husika watu wafuatilie?
 
U so deep man, umemuanika jamaa live bila chenga chaajabu serikali inamjua, Kikwete alipewa list ya wauza unga na huyu akiwa mmoja wao ila bado hamna kinachofanyika.

alikwenda kumjulia hali hospitali, na wakati anatoka alisonya. source jf
 
tz ni sawa na shamba la bibi..inasikitisha sana, mr dhaifu ni tatizo hapa tz hatujui tuu.
 
Back
Top Bottom