Mfanyabiashara Said Mohammed Saad wa Home Shopping Center (GSM Foundation)

Polisi ipi sasa ndugu zangu? hiyo polisi ambayo ipo mikononi mwake au polisi ya wapi? maswala kama haya yanatakiwa yadakwe na vyombo vya habari na kuandika ili polisi walazimike kufanyia kazi vinginevyo anawezakwenda polisi nahaohao polisi wakampigia sim jamaa na kumwambia mtu wako huyo hapo
 
Inaonekana uko well informed kuhusu huyu jamaa, hawa ndio wanapita mitaani wanasema wameiweka seriukali mifukoni mwao. Hii Tanzania tusipoamua tutaendelea kuwatajirisha wajanja hadi kiyama. Tuamke wa Tanzania jamani tuwe wazalendo angalau kidogo tu ili nchi yetu isonge inauma sana kwakweli
 

Track record ipo public domain






Sasa naona Makonda ndo Reload ya HSC ilipogeuka kuwa GSM
 

Mkuu tujiulize hivi wasanii kama Diamond na Ali Kiba walitoa wapi milioni 20 rejareja za kuwapa GSM foundation? Hiyo ni njia mojawapo ya money laundering
Wachunguzwe hawa wasanii kama kweli pesa hizi walitoa kwenye pesa walioipata kihalali au ndo ile unapewa uonekane unanipa kumbe pesa za kwangu unazitakatisha. Sisi watu wazima tunaelewa sana mchezo huu




 
Halafu yule sheikh mkuu wa Dar es Salaam ni rafiki kipenzi wa Makonda na kuna tetesi toka kwa baadhi ya waumini wakimtuhumu kwamba anapakapaka 'ambi' wakati Ray yeye anakunywa maji tu.
 
Huyo ndo aliyempa Ma Kondakta Lexus ile nyeus

Na hapo je? Makabidhiano ya msaada wa Diamond kwenda GSM umesimamiwa na Makonda.
Nani anamfadhili nani na kwa njia gani?






Diamond katoa milioni 20 kwa GSM foundation alafu GSM kupitia duka lake la Babyshop linamfadhili mtoto wa Diamond
Mwenye macho haambiwi tazama
 
mh inatisha kwakweli si binadamu uyo bali ni shetan
 
mh aya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…