Mfanyabiashara Said Mohammed Saad wa Home Shopping Center (GSM Foundation)

Mfanyabiashara Said Mohammed Saad wa Home Shopping Center (GSM Foundation)

Umeongea mengi sana kuhusu Said kuna ya ukweli kuhusu majengo lakini mengine naona una sababu zako binafsi...halafu ilo ghorofa unalosema lipo Swahili na Udoe sio Swahili na Msimbazi Mbona huyo RPC wa siku nyingi sana mkuu.

Mkuu kama mzalendo na unapenda nchi yako kwa nini huu ushahidi wako usipeleke polisi.
Polisi ipi sasa ndugu zangu? hiyo polisi ambayo ipo mikononi mwake au polisi ya wapi? maswala kama haya yanatakiwa yadakwe na vyombo vya habari na kuandika ili polisi walazimike kufanyia kazi vinginevyo anawezakwenda polisi nahaohao polisi wakampigia sim jamaa na kumwambia mtu wako huyo hapo
 
Makonda ukimshughulikia na huyu nitaamini kweli umejipanga kupambana na dawa za kulevya! GSM wanakufadhili kumbe ndiyo nyoka hatarii

Picture worth 1,000 words
Tuache picha ziongee

88733e4cbe99d860f44fa573109c1095.jpg

109ce2c2d9c695afd0e14ab1ce330b8d.jpg
 
Mfanyabiashara Said Mohammed Saad

Utangulizi

Mfanyabiashara Said Mohammed Saad anamiliki Kampuni ya Home Shopping Center iliyopo Kariakoo Mtaa wa Swahili na Msimbazi katika Jengo la Ghorofa lenye vioo vilivyochorwa picha za waigizaji wa Kikundi cha Orijino Commedy kinachorusha vipindi vyake Televisheni ya taifa ya TBC1.

Mfanyabiashara huyu ambaye ana uraia wa nchi mbili yaani Tanzania na Saud Arabia, anafanya uhalifu na kuhujumu uchumi nchi kwa kushirikiana na wafanyabiashara wengine wakubwa

Tuhuma

Mfanyabiashara Said Mohammed ameshiriki katika matukio mengi ya kihalifu yakiwamo ya kupiga risasi watu na kesi zake zimekuwa zikifunguliwa na baadaye anazizima kwa kutoa rushwa polisi.

Moja ya matukio hayo ni kumpiga risasi mfanyakazi wake mwaka 2005 wakati akishusha bidhaa za kuuza dukani kutoka katika gari lake, kumpiga risasi mwanafunzi wa Shule ya Msingi Vingunguti, Deo Vicent Agosti 15, 2006 saa 1:00 usiku Mtaa wa Msimbazi na Swahili Kariakoo jijini Dar es Salaam.

Mfanyakazi wake alimpiga baada ya kumbishia Said kwamba hawezi kumpiga risasi kwa sababu anajua sheria za nchi haziruhusu kufanya hivyo. Alimpiga kuonyesha kwamba yeye yupo juu ya sheria za nchi. Kesi hiyo nayo aliimaliza kimya kimya kwa kumpa hela mfanyakazi huyo na ndugu zake na polisi.

Mtoto Vicent yeye baada ya kupigwa risasi aliliripoti Polisi na baadaye alilazwa katika Wodi namba 17 Moi kwenye hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam. Alipigwa risasi ya mguuni wakati akipita karibu na duka la Said baada ya mashabiki wa Simba waliokuwa wakisherekea ushindi wa timu yao kupita katika eneo hilo.

Hata hivyo, alimaliza kesi hiyo nje ya mahakamani kwa kuwapa hela wazazi wa mtoto huyo.

Pia anamiliki genge la Wahalifu ambalo analitumia kumlinda na kuwaadhibu wapinzani wake au maadui zake akishirikiana na mdogo wake Ghalib Mohammed Saad.

Kundi hilo linalojulikana kama Ze Popobawa ndilo ambalo Agosti mwaka huu lilitumika kumteka nyara Mlebanoni mfanyabiashara ambaye ana duka la vitu vya ndani Mtaa wa Morogoro karibu na makutano ya barabara za Morogoro na Bibi Titi na baadaye kumwingilia kinyume cha maumbile kisha kumpeleka kwa nguvu Uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere kumrejesha kwao Yemen kinyume cha taratibu.

Kisa kilichofanya mfanyabiashara huyo ambaye yupo nchini kisheria ni kumpa mimba mdogo wa Said anayeitwa Salha bila ya kuoana kama zilivyotaratibu za mila zao za Yemeni.

Mfanyabiashra huyo wa Mlebanoni ambaye awali alikuwa rafiki yake mkubwa na Said, amemfanya tangu tukio hilo litokee kuishi kwa kujificha kwa kuhofia kufanyiwa unyama mwingine na Said ambaye anaendelea kumtisha.

Unyama mwingine

Baada ya kumfanyia unyama mfanyabiashra Mlebanoni , Said hakuishia hapo bali aliamua kumwadhibu dada yake Salha kwa kumpiga. kumnyoa nywele zake zote na kumnywesha vidonge ambavyo havijulikani aina yake na alimpa kwa sababu zipi?

Salha baada ya kufanyiwa nyama huo nyumbani kwao Msasani wilaya Kinondoni aliamua kwenda kuripoti polisi kituo cha Osterbay ambako lilifunguliwa jalada la kesi namba OB/RB/13915 ambayo ilifunguliwa Agosti 5 mwaka huu.

Hata hivyo, mbali ya polisi kuthibitisha kutokea kwa tukio hilo, lakini wanashangaa tangu Salha aripoti tukio hilo, hajarudi kituoni hapo wala simu yake mkononi ambayo aliicha namba zake kituoni hapo wakati akiandikisha maelezo haipatikani, kitu ambacho kinawapa wasiwasi.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Mark Kalunguyeye anasema huenda suala hilo wamelimaliza kifamilia. Ingawa kuna tariafa kuwa msichana huyo amewekwa kizuizini chumbani ambako haruhusiwi kutoka nje. Polisi kituo cha Oysterbay hawajafuatilia suala hilo kutokana na kupozwa kwa kupewa kitu kidogo rushwa na Said ili kuzima suala hilo.

Ushirika wa kihalifu

Kutokana na kushirikiana vyema katika shughuli za dawa za kulevya na kutorosha nyara za taifa wakimtumia Mfanyabiashara huyu, Said, Manji ameamua kumpa vijana wake wa Orijino Commedy kuwapa ufadhili wa kutangaza bidhaa zake anazoingiza nchini za mashuka na nguo.

Hivi karibuni baada ya Manji kushiriki katika kuigiza mchezo wa kikundi cha Orijino Comedy kama mfanyabishara ambaye alikuwa akihitaji msaada wa kupata fedha za kufadhili Klabu ya Yanga na kuwapa wagizaji wa kikundi hicho kutumia ofisi yake kuigiza, Said naye wiki iliyofuatia aliwapa wana kikundi hicho nafasi kuingiza katika ofisi yake na kuwapa gari lake kulitumia.

Wizi wa makontena bandarini

1. Mfanyabiashara huyu anamiliki kampuni nyingi za Clearing and Forwarding ambazo hutumika kuiba makontena ya bidhaa anazoziingiza nchini kutoka nje na akishirikiana na baadhi ya wafanyakazi wa TRA.

Hata hivyo, Kampuni hizi zimefungiwa baada ya kubaini kuhusika na wizi huo wa makontena, lakini kila inayofungiwa husajili nyingine Brela akitumia majina feki.

Kampuni ambazo zimefungiwa na TRA kwa kuhusika na wizi wa makontena zaidi ya 30 kila moja ni Mbasi Clearing and Fowarding, Clinton Clearing and Forwarding, London Freight Forwarding, Exceptional Freight Forwaders na Upland Clearing and Forwarding.

TRA imethibitisha kuzifungia kampuni hizo kufanya kazi ya Clearing and Fowading, kwa kutumia kifungu 145 (3) cha sheria ya Jumuia ya Afrika Mashariki ya utawala wa Forodha ya mwaka 2004.

Hata hivyo, wamekataa kutaja majina ya wamiliki wa kampuni hizo wakisema Brela ndio wenye jukumu hilo. Ingawa wamekuwa wakikubali kuendelea kumhudumia mteja huyo huyo ambaye anaiba makontena na kufungiwa kampuni zake kisha anafungua nyingine chap chap kama uyoga.

Hata hivyo, Brela kuna kumbukumbu ya kampuni mbili tu ambazo ni London Freight Fowarders Ltd yenye usajili namba 39834 iliyosajiliwa Agosti 15, 2000 ikionyesha wamiliki wake ni Angelo Peter mwenye hisa 2000, Richard Mulenga mwenye hisa 1500 na Abdulkarim Zaharan Salim mwenye hisa 1500. Kampuni hiyo ilianzishwa ikiwa na mtaji wa sh milioni 10.

Kampuni nyingine za kwake zenye kumbukumbu Brela ni Exceptional Freight Fowarders Ltd ambayo wamiliki wake ni Lumba Nguku mwenye hisa 5,000 na Salim Suleiman mwenye hisa 5,000. Kampuni ilianzishwa ikiwa na mtaji wa sh milioni 10.

Dawa za kulevya na kutorosha nyara

Mfanyabiashara huyu anajihusisha na uingizaji wa dawa za kulevya nchini kwa kushirikiana na mfanyabiashara Manji wakitumia kampuni zake za Clearing and Fowarding ambazo huiba makontena yenye dawa hizo yanapoingia bandarini.

Mfanyabiashara huyu ni mmoja wa watu waliotajwa katika orodha ya watu wanaojihusisha na biashara ya dawa za kulevya iliyowasilishwa kwa Rais Jakaya Kikwete mwaka 2006 akitajwa kama Said Abuu mfanyabiashra wa Kariakoo.

Nyara za taifa

Mfanyabiashara huyu amekuwa akitumia kampuni zake kusafirisha makontena yenye nyara za taifa kwenda Vietnam, Philipiness na Malaysia akishirikiana Manji na Rostam Aziz ambaye pia ni mmiliki vitalu vya uwindaji. Kampuni ya Rostam ya Uwindaji inaendeshwa na mdogo wake anayeitwa Akram.

Ili kufanikisha mtandao wao huo wana watu wao katika sehemu nyeti za TRA, bandari, Polisi na usalama wa taifa unaowalinda kwa hali na mali.

Utajiri wa kutisha

Kutokana na Said kujihusisha na biashara hizo haramu kwa muda mfupi tangu mwaka 2004 alipoanza hivi sasa ana utajiri wa kutisha. Anamiliki nyumba sita eneo la Kariakoo pekee.

1. Moja ipo Swahili na Msimbazi, Ghorofa saba ambayo ameamua kuipangisha watu sehemu ya juu, lakini TRA akidaganya kwamba ni hoteli ili kukwepa kulipa kodi.
2. Congo na Agrey ghorofa sita,
3. Uhuru mkabala na shule ya Sekondari ya Benjamin Mkapa bado inajengwa ni ya ghorofa,
4. Livingstone na Uhuru ipo,
5. Mkunguni Kariakoo Sokoni karibu na dula la Azam Ice Cream ghorofa sita,
6. Lumumba karibu na CCM makao makuu limepakana na Hospitali ya Burhan.
Inaonekana uko well informed kuhusu huyu jamaa, hawa ndio wanapita mitaani wanasema wameiweka seriukali mifukoni mwao. Hii Tanzania tusipoamua tutaendelea kuwatajirisha wajanja hadi kiyama. Tuamke wa Tanzania jamani tuwe wazalendo angalau kidogo tu ili nchi yetu isonge inauma sana kwakweli
 
Ni bahati mbaya sana kuwa kuna watanzania wapumbavu wakutupwa wanaonunulika bure. Kama watanzania nisingefikiri kungekuwa na mtu anatukana watu humu eti wana wivu. Wakati umefika kwa sasa watanzania tuanze kuchuukua hatua kulinda nchi yetu. Mtoa mada amesahau kusema kuwa huyu bwana ni Myemen, mshenzi kuliko mbwa. kwa kuwa viongozi wetu wa juu nao pia ni mafisadi wahujumu uchumi, ndio maana hawa watoto wadogo wa kiyemeni wanaweza kutufanya watanzania wote wapumbavu. Ridhwana kikwete anashinda ofisini hapo kila siku ya mungu kama mbwa koko. Kampeni zangu za ubunge zimefadhiliwa na huyu bwana, huku akipewa magari na pesa za kufanya kampeni. Huko ikulu tulimuona JK kabebeshwa kitoto kidogo cha huyu bwana, yote hiyo kujikomba. Sasa a huyu mfunga kamba alipoingia ndio anayetumika ku protect ufisadi wa the Kikwetes, hapo ndipo shamba la mtandao wa Ridhwani, ndio maana huyu bwana anakula na kunywa, na literally kuishi kwa Gharib. Hawa watu hata kama watoto wao wakifanyiwa huo unyama, watanyamaza kwa kuwa wameshatekwa. lazima tujikomboe jamani msitegemee Serikali hii itaweza kutulinda. Hawa watu wanajulikana wazi juu ya biashara zao haramu ikiwemo madawa ya kulevya, zaidi ya Mbowe, Gwajima, Ray C na Chidi Benz, hiyo GSM foundation ni utakatishaji pesa haramu kwa nini serikali haichukui hatua. Wewe uliona funza gani kwenye ubongo, kiwanja kilichohodhi heshima ya TANU kipewe mvuta bangi na jambazi wa kimataifa, humo ndani wana CCM wakiwemo Mbangula, Zungu, Kimbisa etc wanashinda kwenye hizo corridor wakifuata visenti. Tunajua kabisa wakati wa Membe kila siku asubuhi alikua anapelekewa dola 5,000 na dereva wa Ghalib, ofisini kwake na hela hizo kukabidhiwa secretary wa Membe. Ndio maana hata wakati wa lile sakata lao la kukamatwa na mabilioni ya hela wakizitorosha nje, hakuna kilichofanyika zaidi ya watu wa usalama wa taifa kuhamia hapa ofisini, huku wakitoka na makapu ya hela kila jioni, na shauri limeishia njiani. Fake Country, fake government

Track record ipo public domain
fab5d47a7e1425a0d47154b468927c67.jpg

56a9614692d36a9a84f3d9a0234081d2.jpg

638d112d679bb8591b8a99c10d7d90cf.jpg

fdfea5125d47bdd492fd36f248ee229d.jpg

67a9f8990cbd0472b1b438f18feb4b3a.jpg

Sasa naona Makonda ndo Reload ya HSC ilipogeuka kuwa GSM
8b738340c091fd7ccf3b78b3a0438ebf.jpg
 
Ni bahati mbaya sana kuwa kuna watanzania wapumbavu wakutupwa wanaonunulika bure. Kama watanzania nisingefikiri kungekuwa na mtu anatukana watu humu eti wana wivu. Wakati umefika kwa sasa watanzania tuanze kuchuukua hatua kulinda nchi yetu. Mtoa mada amesahau kusema kuwa huyu bwana ni Myemen, mshenzi kuliko mbwa. kwa kuwa viongozi wetu wa juu nao pia ni mafisadi wahujumu uchumi, ndio maana hawa watoto wadogo wa kiyemeni wanaweza kutufanya watanzania wote wapumbavu. Ridhwana kikwete anashinda ofisini hapo kila siku ya mungu kama mbwa koko. Kampeni zangu za ubunge zimefadhiliwa na huyu bwana, huku akipewa magari na pesa za kufanya kampeni. Huko ikulu tulimuona JK kabebeshwa kitoto kidogo cha huyu bwana, yote hiyo kujikomba. Sasa a huyu mfunga kamba alipoingia ndio anayetumika ku protect ufisadi wa the Kikwetes, hapo ndipo shamba la mtandao wa Ridhwani, ndio maana huyu bwana anakula na kunywa, na literally kuishi kwa Gharib. Hawa watu hata kama watoto wao wakifanyiwa huo unyama, watanyamaza kwa kuwa wameshatekwa. lazima tujikomboe jamani msitegemee Serikali hii itaweza kutulinda. Hawa watu wanajulikana wazi juu ya biashara zao haramu ikiwemo madawa ya kulevya, zaidi ya Mbowe, Gwajima, Ray C na Chidi Benz, hiyo GSM foundation ni utakatishaji pesa haramu kwa nini serikali haichukui hatua. Wewe uliona funza gani kwenye ubongo, kiwanja kilichohodhi heshima ya TANU kipewe mvuta bangi na jambazi wa kimataifa, humo ndani wana CCM wakiwemo Mbangula, Zungu, Kimbisa etc wanashinda kwenye hizo corridor wakifuata visenti. Tunajua kabisa wakati wa Membe kila siku asubuhi alikua anapelekewa dola 5,000 na dereva wa Ghalib, ofisini kwake na hela hizo kukabidhiwa secretary wa Membe. Ndio maana hata wakati wa lile sakata lao la kukamatwa na mabilioni ya hela wakizitorosha nje, hakuna kilichofanyika zaidi ya watu wa usalama wa taifa kuhamia hapa ofisini, huku wakitoka na makapu ya hela kila jioni, na shauri limeishia njiani. Fake Country, fake government

Mkuu tujiulize hivi wasanii kama Diamond na Ali Kiba walitoa wapi milioni 20 rejareja za kuwapa GSM foundation? Hiyo ni njia mojawapo ya money laundering
Wachunguzwe hawa wasanii kama kweli pesa hizi walitoa kwenye pesa walioipata kihalali au ndo ile unapewa uonekane unanipa kumbe pesa za kwangu unazitakatisha. Sisi watu wazima tunaelewa sana mchezo huu

63bf910d7aba8e03342eb4c0a679be6c.jpg

1a0d926ad0c32eafe5a68374012514fd.jpg
 
Alafu rafiki kipenzi wa RC Makonda kaweka ile habari ya jengo la Bakwata na kuwa limefadhiliwa na GSM
MKUU WA MKOA MWENYE UMRI MDOGO KULIKO WOTE KATIKA HISTORIA YA TAIFA TANZANIA ALIPOISHANGAZA DUNIA LIVE!! ~ Blogu ya Wananchi

c6b6fb074c5672919a72a341d025315d.jpg

Naona hajasingiziwa RC Makonda au GSM foundation au Bakwata
Halafu yule sheikh mkuu wa Dar es Salaam ni rafiki kipenzi wa Makonda na kuna tetesi toka kwa baadhi ya waumini wakimtuhumu kwamba anapakapaka 'ambi' wakati Ray yeye anakunywa maji tu.
 
Huyo ndo aliyempa Ma Kondakta Lexus ile nyeus
f3e345c7bd647f3660cf1d20335aa8fa.jpg

Na hapo je? Makabidhiano ya msaada wa Diamond kwenda GSM umesimamiwa na Makonda.
Nani anamfadhili nani na kwa njia gani?

d9e92bab7c09d330e22e17208b2d2466.jpg

d94eb5214edbfd3ce6f6cffdc43b7d01.jpg

0e14d9554c0c76d25c140c769c3ecfd5.jpg

df62bece812edf77128a90733e513854.jpg

Diamond katoa milioni 20 kwa GSM foundation alafu GSM kupitia duka lake la Babyshop linamfadhili mtoto wa Diamond
Mwenye macho haambiwi tazama
 
mh inatisha kwakweli si binadamu uyo bali ni shetan
Hivi post hii ya mwaka 2012 kweli nchi hii hakuna Usalama wa Taifa? Hivi Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam anathubutu leo wazi kushirikiana na watu / kampuni yenye rekodi ya kutisha hivi?
Rais Magufuli tokea Hone Shopping Center mpaka sasa tuna GSM foundation mbona huwashughulikii hawa?? Hiyo ya bandarini unaona taarifa zilikuwepo je hizi zingine?
Tunaendelea kuangalia.
 
mh aya
 
Back
Top Bottom