Mfanyabiashara Said Mohammed Saad wa Home Shopping Center (GSM Foundation)

Kwani ni series ya kikorea hii?? Kina Jumong?
 
Tunarudia yale yale....utawala wa Kikwete ulikuwa ni utawala wa kishetani kwani Kikwete na genge lake kwa makasudi tu walikuwa wanafumbia macho maovu yatendwayo na magenge yake. Wanasema Tanzania hatuna uraia pacha, mbona huyu jamaa anao na si yeye tu? Jibu, huyu jamaa ni mwana mtandao. Inawezekanaje mtu tena raia mgeni anaishi hapa Tanzania na kutesa ndugu zetu bila kuchukuliwa hatua, yaani tumekuwa Kenya mgeni kumyanyasa raia huku akichekelewa? Tanzania tuwe tunaruhusiwa kuua watu kama hawa, yaani mtu ampige risasi mtoto wangu alafu aachiliwe huru? No fucking way...lazima niue tena mgeni, huyo simwachii. Tanzania tulimuhitaji Magufuli kuja kuondoa uzezeta wetu kwani hata kama rais angekuwa Lowassa asingefanya haya afanyayo Magufuli kwa sababu angekuja na kulipizia visasi na hata huyo jangili Rostam asingemakamata kwani ni mshikaji wake.
 
Duuh huu uzi ulikuwa hai mwaka 2012 lakini umehuishwa tena 2017.

Mwosha huoshwaaaa; RC furukuta na hapo sasa!

Mimi ninavyofahamu mpira unadunda, sasa baada ya kudunda siyo wote wanaojua utaelekea wapi .
Inavyoelekea huu unaelekea kwake, sasa kazi kwake achague kutoa pasi, kutoa kona au abutue tu bora liende.
 

Mkuu kwa hiyo GSM wako huru mpaka sasa ni ishara ya nini? Uungwana?
 
sidhani kama shekh mkuu wa bakwata kama yupo sahihi na mafundisho ya dini yetu
Halafu yule sheikh mkuu wa Dar es Salaam ni rafiki kipenzi wa Makonda na kuna tetesi toka kwa baadhi ya waumini wakimtuhumu kwamba anapakapaka 'ambi' wakati Ray yeye anakunywa maji tu.
 
Akili za
akili za Kalunguyeye wa Kike alie katika siku zake .
 
Duuh huu uzi ulikuwa hai mwaka 2012 lakini umehuishwa tena 2017.

Mwosha huoshwaaaa; RC furukuta na hapo sasa!
mh kiukweli watanzania tuamke
 
Michezo ya cheupe cheusi... Ila kama kawaida yetu wa Tz tutapiga makofi na kushangilia afu siku itapita
 
Kama kweli TISS wapo na mkuu anafanyia kazi, hawa jamaa watapotezwa.
Mkuu asikae kupambana na kuwakomoa watumishi wa umma na wapinzani tu.
Kuna watu wanafanya biashara haramu Ila wanabebwa na watu wake.
Hata kuwataja kina gwajima ilikuwa kuwaficha hawa.
 
Dah,,,,,,Tanzania ni zaidi ya tuijuavyo,,,, lakini Mungu anaona,,, evil will never prevail,,,,watatofautiana ndimi,,, watauana wenyewe,,,, na nchi itabaki salama,,,, people of God are praying,,,
 
Concrete proof ya cases ulitaja ipo? Na matukio mengine yoote? Honestly i want a better tanzania lakini basi hata uweke vidhibiti tuu, hear say can have its complications!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…