Mfanyabiashara Said Mohammed Saad wa Home Shopping Center (GSM Foundation)

Arobaini ni kwa mwizi wa kuku ila kwa billionea anaeweza kuinunua mahakama nzima mtakunywa sana Spa Letta Bar!
 
Nimesoma mwanzo mpaka mwisho,nimeona story na masimulizi tu,hakuna ushahidi,
Weka ushahidi wazi,maana haya ni maneno tu,yasio na maana,mtu yeyote anaweza tunga,hizi ni tuhuma tu,just words
 
Wapumbavu watasema ni majungu lakini huu ndio ukweli na amekuwa akifanya hivi kwa miaka mingi!
Home shopping center alifanya wizi na uhujumu mkubwa na ndio maana aliifunga!
Ndani ya utawala wa kikwete ulimlinda sana huyu mtu ka wizi na ukatili wake.
 
Nenda dukani kanunue akili ndugu!
 
Wafanya biashara wa betri hawatamsahau huyu.
 
Wapumbavu watasema ni majungu lakini huu ndio ukweli na amekuwa akifanya hivi kwa miaka mingi!
Home shopping center alifanya wizi na uhujumu mkubwa na ndio maana aliifunga!
Ndani ya utawala wa kikwete ulimlinda sana huyu mtu ka wizi na ukatili wake.
Kwanini kwenye utawala wa jiwe hakuguswa na hata Paul Makonda alipokuwa Regional Commissioner akiendesha kampeni zake za madawa waliguswa wakina Manji na kivipi huyu Gharibu Said Mohamed akuguswa katika kashfa ya madawa ya kulevya
 
Na katika rekodi huyu GSM kapata pesa nyingi sana na coverage ya kutosha na kufanya expansion of his empire Ni katika kipindi cha miaka 5 ya Mwendazake.
Ilikuwaje chini ya Mwamba mwendazake akatoboa?
 
Nimesoma mwanzo mpaka mwisho,nimeona story na masimulizi tu,hakuna ushahidi,
Weka ushahidi wazi,maana haya ni maneno tu,yasio na maana,mtu yeyote anaweza tunga,hizi ni tuhuma tu,just words
Hebu tupe aina ya ishahidi unaolutaka
 
Na katika rekodi huyu GSM kapata pesa nyingi sana na coverage ya kutosha na kufanya expansion of his empire Ni katika kipindi cha miaka 5 ya Mwendazake.
Ilikuwaje chini ya Mwamba mwendazake akatoboa?
Kinyume chake ndio ukweli
 
Na katika rekodi huyu GSM kapata pesa nyingi sana na coverage ya kutosha na kufanya expansion of his empire Ni katika kipindi cha miaka 5 ya Mwendazake.
Ilikuwaje chini ya Mwamba mwendazake akatoboa?
Siyo kweli; alivuna sana awamu ya awali, alivuna mno kwenye forodha. Alikuwa akianzisha makampuni ya forodha na kisha kiyafuta
 
Manji alikuwa ni mmoja wapo alipata pesa nying kipindi cha JK alikuja Mwendazake akamla kichwa coz ya maadili yake haramu

Swali ni Je, kivipi kama GSM maadili yake haramu ya kipindi cha JK lakini mwendazake na Makonda hawakumgusa kama walivyo fanya kwa Manji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…