Mfanyabiashara Said Mohammed Saad wa Home Shopping Center (GSM Foundation)

Mfanyabiashara Said Mohammed Saad wa Home Shopping Center (GSM Foundation)

majungu tu.. ndio maana waswahili hakuna bilionea mamaee
Sawa kuna uwezekano mkubwa yakawa majungu na kuna uwezekano mkubwa yakawa KWELI. Yote yanategemea mawazo na kufaidika kwa mtoa maoni na mhitimishaji. Ila ukweli utabaki kuwa Home Shopping Centre walijifilisi baada ya kuwa wanadaiwa kodi nyingi sana na TRA. Halafu wakaja upya na sura mpya na majina mapya na shughuli ZILIEZILE! Huo ndio uhalisia, siyo majungu.
 
Hakuna cha majungu wala nini.

Hii habari ni ya kweli. Ninawaomba waandishi wa habari wale ambao huwa hawana tamaa ya mlungula wafuatilie haya mambo polisi na kutafuta wale wahusika wote waliopigwa risasi ili ukweli ujulikane kwa umma. Watu wa aina hii hawatakiwi Tanzania hii.

Ndiyo maana tunahitaji rais atoke tena chama kingine ili kwanza awashughulikie criminals wote na wahamishwe nchini. Kwanza kabisa waweke katika katiba mpya kuwa investor yeyote akihusika na criminal acticvities apigwe PI na mali zake zichukuliwe na serikali. Mbona huko nchi za wengine PI zipo, Tanzania ni shamba la bibi au.

Watanzania tuamke, saa ya ukombozi ni sasa! Nimeumia sana kwa kusoma habari hii.

Goooo night with tears! I love my country!!
Utajiri sio mchezo
 
Makosa aliyo hukumiwa Manji ni yale aliyo yafanya kipindi cha nyuma hata angefirisika na hata huyo GSM hata kama alitangaza kufirisika, Je serikali wanaweza kuamini hilo na ndio washindwe kumchukulia hatua kwa makosa ya zamani kisa kafirisika, Je hii inaleta sense kwenye akili yako?

Mwendazake na Makonda kama walichukuliwa hatua Manji na matajiri kibao wakina Seth na Rugemalira ndo washindwe kumchukulia hatua GSM kisa kafirisika?

Mkuu use your own common sense Na SIO mihemko katika swala hili
Mkuu kifupi tu GSM watu wazito hao unaandika vitu vingi kama hujui kitu vile kumbe unaelewa,,..
Ubia wa hii kampuni na familia unajulikana toka kipindi cha HSC,,..
Hata huko yanga wamepelekwa na familia,
Na familia ndo iko nyuma ya hao jamaa usingesikia.wamefanyiwa kitu chchte kile ..
 
Tanzania hakuna tajiri mkweli hata MO mwizi mzuri tu ndo alivaa kanga na hadi leo yupo kimya.
 
M
Mfanyabiashara Said Mohammed Saad

Utangulizi

Mfanyabiashara Said Mohammed Saad anamiliki Kampuni ya Home Shopping Center iliyopo Kariakoo Mtaa wa Swahili na Msimbazi katika Jengo la Ghorofa lenye vioo vilivyochorwa picha za waigizaji wa Kikundi cha Orijino Commedy kinachorusha vipindi vyake Televisheni ya taifa ya TBC1.

Mfanyabiashara huyu ambaye ana uraia wa nchi mbili yaani Tanzania na Saud Arabia, anafanya uhalifu na kuhujumu uchumi nchi kwa kushirikiana na wafanyabiashara wengine wakubwa.

Tuhuma

Mfanyabiashara Said Mohammed ameshiriki katika matukio mengi ya kihalifu yakiwamo ya kupiga risasi watu na kesi zake zimekuwa zikifunguliwa na baadaye anazizima kwa kutoa rushwa polisi.

Moja ya matukio hayo ni kumpiga risasi mfanyakazi wake mwaka 2005 wakati akishusha bidhaa za kuuza dukani kutoka katika gari lake, kumpiga risasi mwanafunzi wa Shule ya Msingi Vingunguti, Deo Vicent Agosti 15, 2006 saa 1:00 usiku Mtaa wa Msimbazi na Swahili Kariakoo jijini Dar es Salaam.

Mfanyakazi wake alimpiga baada ya kumbishia Said kwamba hawezi kumpiga risasi kwa sababu anajua sheria za nchi haziruhusu kufanya hivyo. Alimpiga kuonyesha kwamba yeye yupo juu ya sheria za nchi. Kesi hiyo nayo aliimaliza kimya kimya kwa kumpa hela mfanyakazi huyo na ndugu zake na polisi.

Mtoto Vicent yeye baada ya kupigwa risasi aliliripoti Polisi na baadaye alilazwa katika Wodi namba 17 Moi kwenye hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam. Alipigwa risasi ya mguuni wakati akipita karibu na duka la Said baada ya mashabiki wa Simba waliokuwa wakisherekea ushindi wa timu yao kupita katika eneo hilo.

Hata hivyo, alimaliza kesi hiyo nje ya mahakamani kwa kuwapa hela wazazi wa mtoto huyo.

Pia anamiliki genge la Wahalifu ambalo analitumia kumlinda na kuwaadhibu wapinzani wake au maadui zake akishirikiana na mdogo wake Ghalib Mohammed Saad.

Kundi hilo linalojulikana kama Ze Popobawa ndilo ambalo Agosti mwaka huu lilitumika kumteka nyara Mlebanoni mfanyabiashara ambaye ana duka la vitu vya ndani Mtaa wa Morogoro karibu na makutano ya barabara za Morogoro na Bibi Titi na baadaye kumwingilia kinyume cha maumbile kisha kumpeleka kwa nguvu Uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere kumrejesha kwao Yemen kinyume cha taratibu.

Kisa kilichofanya mfanyabiashara huyo ambaye yupo nchini kisheria ni kumpa mimba mdogo wa Said anayeitwa Salha bila ya kuoana kama zilivyotaratibu za mila zao za Yemeni.

Mfanyabiashra huyo wa Mlebanoni ambaye awali alikuwa rafiki yake mkubwa na Said, amemfanya tangu tukio hilo litokee kuishi kwa kujificha kwa kuhofia kufanyiwa unyama mwingine na Said ambaye anaendelea kumtisha.

Unyama mwingine

Baada ya kumfanyia unyama mfanyabiashra Mlebanoni , Said hakuishia hapo bali aliamua kumwadhibu dada yake Salha kwa kumpiga. kumnyoa nywele zake zote na kumnywesha vidonge ambavyo havijulikani aina yake na alimpa kwa sababu zipi?

Salha baada ya kufanyiwa nyama huo nyumbani kwao Msasani wilaya Kinondoni aliamua kwenda kuripoti polisi kituo cha Osterbay ambako lilifunguliwa jalada la kesi namba OB/RB/13915 ambayo ilifunguliwa Agosti 5 mwaka huu.

Hata hivyo, mbali ya polisi kuthibitisha kutokea kwa tukio hilo, lakini wanashangaa tangu Salha aripoti tukio hilo, hajarudi kituoni hapo wala simu yake mkononi ambayo aliicha namba zake kituoni hapo wakati akiandikisha maelezo haipatikani, kitu ambacho kinawapa wasiwasi.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Mark Kalunguyeye anasema huenda suala hilo wamelimaliza kifamilia. Ingawa kuna tariafa kuwa msichana huyo amewekwa kizuizini chumbani ambako haruhusiwi kutoka nje. Polisi kituo cha Oysterbay hawajafuatilia suala hilo kutokana na kupozwa kwa kupewa kitu kidogo rushwa na Said ili kuzima suala hilo.

Ushirika wa kihalifu

Kutokana na kushirikiana vyema katika shughuli za dawa za kulevya na kutorosha nyara za taifa wakimtumia Mfanyabiashara huyu, Said, Manji ameamua kumpa vijana wake wa Orijino Commedy kuwapa ufadhili wa kutangaza bidhaa zake anazoingiza nchini za mashuka na nguo.

Hivi karibuni baada ya Manji kushiriki katika kuigiza mchezo wa kikundi cha Orijino Comedy kama mfanyabishara ambaye alikuwa akihitaji msaada wa kupata fedha za kufadhili Klabu ya Yanga na kuwapa wagizaji wa kikundi hicho kutumia ofisi yake kuigiza, Said naye wiki iliyofuatia aliwapa wana kikundi hicho nafasi kuingiza katika ofisi yake na kuwapa gari lake kulitumia.

Wizi wa makontena bandarini

1. Mfanyabiashara huyu anamiliki kampuni nyingi za Clearing and Forwarding ambazo hutumika kuiba makontena ya bidhaa anazoziingiza nchini kutoka nje na akishirikiana na baadhi ya wafanyakazi wa TRA.

Hata hivyo, Kampuni hizi zimefungiwa baada ya kubaini kuhusika na wizi huo wa makontena, lakini kila inayofungiwa husajili nyingine Brela akitumia majina feki.

Kampuni ambazo zimefungiwa na TRA kwa kuhusika na wizi wa makontena zaidi ya 30 kila moja ni Mbasi Clearing and Fowarding, Clinton Clearing and Forwarding, London Freight Forwarding, Exceptional Freight Forwaders na Upland Clearing and Forwarding.

TRA imethibitisha kuzifungia kampuni hizo kufanya kazi ya Clearing and Fowading, kwa kutumia kifungu 145 (3) cha sheria ya Jumuia ya Afrika Mashariki ya utawala wa Forodha ya mwaka 2004.

Hata hivyo, wamekataa kutaja majina ya wamiliki wa kampuni hizo wakisema Brela ndio wenye jukumu hilo. Ingawa wamekuwa wakikubali kuendelea kumhudumia mteja huyo huyo ambaye anaiba makontena na kufungiwa kampuni zake kisha anafungua nyingine chap chap kama uyoga.

Hata hivyo, Brela kuna kumbukumbu ya kampuni mbili tu ambazo ni London Freight Fowarders Ltd yenye usajili namba 39834 iliyosajiliwa Agosti 15, 2000 ikionyesha wamiliki wake ni Angelo Peter mwenye hisa 2000, Richard Mulenga mwenye hisa 1500 na Abdulkarim Zaharan Salim mwenye hisa 1500. Kampuni hiyo ilianzishwa ikiwa na mtaji wa sh milioni 10.

Kampuni nyingine za kwake zenye kumbukumbu Brela ni Exceptional Freight Fowarders Ltd ambayo wamiliki wake ni Lumba Nguku mwenye hisa 5,000 na Salim Suleiman mwenye hisa 5,000. Kampuni ilianzishwa ikiwa na mtaji wa sh milioni 10.

Dawa za kulevya na kutorosha nyara

Mfanyabiashara huyu anajihusisha na uingizaji wa dawa za kulevya nchini kwa kushirikiana na mfanyabiashara Manji wakitumia kampuni zake za Clearing and Fowarding ambazo huiba makontena yenye dawa hizo yanapoingia bandarini.

Mfanyabiashara huyu ni mmoja wa watu waliotajwa katika orodha ya watu wanaojihusisha na biashara ya dawa za kulevya iliyowasilishwa kwa Rais Jakaya Kikwete mwaka 2006 akitajwa kama Said Abuu mfanyabiashra wa Kariakoo.

Nyara za taifa

Mfanyabiashara huyu amekuwa akitumia kampuni zake kusafirisha makontena yenye nyara za taifa kwenda Vietnam, Philipiness na Malaysia akishirikiana Manji na Rostam Aziz ambaye pia ni mmiliki vitalu vya uwindaji. Kampuni ya Rostam ya Uwindaji inaendeshwa na mdogo wake anayeitwa Akram.

Ili kufanikisha mtandao wao huo wana watu wao katika sehemu nyeti za TRA, bandari, Polisi na usalama wa taifa unaowalinda kwa hali na mali.

Utajiri wa kutisha

Kutokana na Said kujihusisha na biashara hizo haramu kwa muda mfupi tangu mwaka 2004 alipoanza hivi sasa ana utajiri wa kutisha. Anamiliki nyumba sita eneo la Kariakoo pekee.

1. Moja ipo Swahili na Msimbazi, Ghorofa saba ambayo ameamua kuipangisha watu sehemu ya juu, lakini TRA akidaganya kwamba ni hoteli ili kukwepa kulipa kodi.
2. Congo na Agrey ghorofa sita,
3. Uhuru mkabala na shule ya Sekondari ya Benjamin Mkapa bado inajengwa ni ya ghorofa,
4. Livingstone na Uhuru ipo,
5. Mkunguni Kariakoo Sokoni karibu na dula la Azam Ice Cream ghorofa sita.
6. Lumumba karibu na CCM makao makuu limepakana na Hospitali ya Burhan.
Makonda = Sabaya
 
Kama Mpaka Mungu anamchukua Magufuli,GSM hajawahi kunasa mikononi mwa JPM

Hakuna mtu yeyote ataeweza mnasa GSM ni either ni real untouchable or else kuna Mengi

yanasemwa yasio ya kweli or else Kuna mengi makubwa ameifanyia hii nchi na anaendelea kuyafanya

or else haya yote niliyo yaandika hakuna hata 1 la kweli hivyo aachwe ale bata yawezekana hapa duniani

kaja kula bata TU maana kuna raia wameumbiwa raha kuanzia duniani mpk huko Mbinguni,wao ni raha tuuu.
 
Majungu tuu na fitina ilovuka mipaka! Kama una ushahidi kwa nini usipeleke kunapohusika ili hatua za isheria zikafuatwa au unatumiwa na mshindani wake wa kibiashara?
Ndege wafananao huruka kwa pamoja, mharifu lazima amtetete mharifu mwenzie,mwenzio kaandika kwa ushahidi na vielelezo,na wewe mtetetezi wa waharifu jenga hoja ili kupinga vielelezo vyake,
 
Kama Mpaka Mungu anamchukua Magufuli,GSM hajawahi kunasa mikononi mwa JPM

Hakuna mtu yeyote ataeweza mnasa GSM ni either ni real untouchable or else kuna Mengi

yanasemwa yasio ya kweli or else Kuna mengi makubwa ameifanyia hii nchi na anaendelea kuyafanya

or else haya yote niliyo yaandika hakuna hata 1 la kweli hivyo aachwe ale bata yawezekana hapa duniani

kaja kula bata TU maana kuna raia wameumbiwa raha kuanzia duniani mpk huko Mbinguni,wao ni raha tuuu.
hivi aliyeongelewa ni GSM au baba yake?
 
Hivi inawezekanaje mtu kufanya ouvu wote huu bila serikali kuchukua hatua?
Wanaoteswa nae kwanini nao wasimtende kama anavyofanya yeye?
Jino kwa jino na upanga kwa upanga!
 
Hivi inawezekanaje mtu kufanya ouvu wote huu bila serikali kuchukua hatua?
Wanaoteswa nae kwanini nao wasimtende kama anavyofanya yeye?
Jino kwa jino na upanga kwa upanga!
No Matter How BadAss You think you Are,

There's always BadAss who is Bigger than You.

Sponsored by Priyanshu Painyuli

Movie : Extraction (2020)

Screenshot_1.png
 
Walijaribu.....

 
Back
Top Bottom