Mfanyabiashara Said Mohammed Saad wa Home Shopping Center (GSM Foundation)

Kumbuka kuwa HSC alitangaza kufirisika na kuifuta kampuni hiyo na kuqnzisha kampuni mpya
 
Duh huyu ndio GSM wa yanga au Nani mnisaidie

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Hujanijibu swali langu mkuu
Nimekujibu: Awali GSM alikuwa akiitwa HSC, kwakujua kuwa anaweza kunyolewa, alitangaza kufilisi kampuni yake na kuifunga. Kisha akaanzisha kampuni mpya ya GSM. Michezo hii amekuwa akiifanya na ndiyo iliyomuingiziaa fedha nyingi, kampuni mpya aliyoianzisha haikuwa na mbwembwe kama ile ya awali katika awamu ya 4
 
Kuna kale ka msemo kanasema "Pata pesa tujue tabia zako"
 
Makosa aliyo hukumiwa Manji ni yale aliyo yafanya kipindi cha nyuma hata angefirisika na hata huyo GSM hata kama alitangaza kufirisika, Je serikali wanaweza kuamini hilo na ndio washindwe kumchukulia hatua kwa makosa ya zamani kisa kafirisika, Je hii inaleta sense kwenye akili yako?

Mwendazake na Makonda kama walichukuliwa hatua Manji na matajiri kibao wakina Seth na Rugemalira ndo washindwe kumchukulia hatua GSM kisa kafirisika?

Mkuu use your own common sense Na SIO mihemko katika swala hili
 
Eti alikuwa drug dealer, Yaani Makonda na Mwendazake wasingemuacha huyu ni lazima wangekuwa kichwa mapema sana
[emoji23][emoji23][emoji23] ngoja nikwambiee kitu hao ndo machawa wa Vunja bei wanataka kuhalibu biashara ya GSM ili watake advantage yakuuza jeasy zaoo
 
Eti alikuwa drug dealer, Yaani Makonda na Mwendazake wasingemuacha huyu ni lazima wangekuwa kichwa mapema sana
Aalikua wasaka tonge wale.... ukisikia hata kesi moja mahakamani?
Walipewa chao mapema
 
Nad
Nadhani kuna confusion hapa ya majina, labda hata na FACTS - hapa mleta mada anamzunguzia Said Mohamed Saad (SMS) kuwa ndiyo huyo wa GSM au Ghalib Said Mohamed kwa sasa ambaye hapo zamani eti ndiyo alikuwa mmiliki wa Home Shopping Centre! Hebu tuelezeni kuhusu haya majina na watu wenyewe. Hivyo basi jamani, mleta mada na wachangiaji wenzangu, huyu Said Mohamed Saad ndiye Ghalib Mohamed Said (GSM) wa hiyo GSM inayo ifadhili Young Africans Sports Club (Yanga)? Swali linangoja majibu!
 
Aalikua wasaka tonge wale.... ukisikia hata kesi moja mahakamani?
Walipewa chao mapema
GSM anaweza kumpa chake Magufuli na akatulia au Makonda kwa kipindi kile alikuwa ni mjumbe kabisa kwenye kamati tendaji ndani simba

Kama mabeberu walishindwa kumpa chake Magufuli ili atulie huyo GSM ndo ataweza?

Ebu kunywa maji ulegeze misuli ya kichwa ili uelewe Mkuu
 
Makonda alikua mkusany hela kwa nguvu so amekusanya kwa wengi kwa kigezo cha wahujumu uchumi na wauza madawa ya kulevya.
Kesi gani ya madawa uliwahi isikia imefika mahakanani?
Walimalizana kusela kitaa na maisha yakasonga
 
Makonda alikua mkusany hela kwa nguvu so amekusanya kwa wengi kwa kigezo cha wahujumu uchumi na wauza madawa ya kulevya.
Kesi gani ya madawa uliwahi isikia imefika mahakanani?
Walimalizana kusela kitaa na maisha yakasonga
Vipi kuhusu Magufuli mbona alivyo bana Manji, Seth, Rugemalira na matajiri kibao, kwanini aone uovu wa GSM halafu amuache
 
Watu wanabadili sura. Sembuse jina.
 
majungu tu.. ndio maana waswahili hakuna bilionea mamaee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…