GE2025 Mfanyabiashara, Shamdi Nzogela ajitosa ubunge jimbo la Kilolo

GE2025 Mfanyabiashara, Shamdi Nzogela ajitosa ubunge jimbo la Kilolo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mfanyabiashara, Shamdi Nzogela, amefika Ofisi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kilolo Kwa lengo la kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Kilolo Mkoani Iringa Juni 28, 2025.

Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025

"Maamuzi haya nimeyafanya baada ya ushauri wa Wananchi wanaotaka Maendeleo katika Jimbo la Kilolo, mimi binafsi nikajipima na nikaona ninatosha kugombea Ubunge katika Jimbo la Kilolo" - Amesema Shamdi Nzogela baada ya kuchukua Fomu.

 
Back
Top Bottom