Tetesi: Mfanyabiashara Tanzania atapeliwa milioni mia sita na kufilisika

kwanini tu

Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
50
Reaction score
63
Mwanadada Twaiba classic amekiri kutapeliwa na mwanadada Khadija Naif zaidi ya Tsh milioni mia sita. Wawili hawa walikutana Instagram na kuwa marafiki

Twaiba hakuwa na hofu nae.

Alimuambia atamuunganisha na wawekezaji wakubwa tu maana ndo kazi zake za kuleta wawekezaji nchini pia ameolewa na mtoto wa mfalme wa Dubai.

Huyo tapeli anaonekana na viongozi wakubwa tu wa serikali.

Je, serikali inamjua huyu Dada? Inasemekana kamliza hadi Rostam kwenye makampuni ya ujenzi na wafanyabiashara wengi tu Kariakoo.

 
lete habari kamili ilikuwaje? kama anajulikana mbonani rahisi sana kumkamata?
 
How?
Uenda ni mkakati wa wao wote wawili against gvt.

Hii serikali ya sasa inachezewa sana na hawa wafanyabiashara
 

Ujinga tu
 
Mimi siwezi kutapeliwa na watu wazembe na wenye vitambi kama hao, pesa niipate kwa tabu hivi ndio niwape hao watu tuwekeze? Msinizoee
Huna hata hizo za kutapeliwa
 
Sio mara mmoja, kidogo kidogo
Utter nonsense!

Yaani unapeleka kdg kdg,ya kwanza ustuki?ya pili ustuki?

Huyo ni muongo,yeye na mwenzake wame gang up ili waidanganye kitu serikali hasa taarifa za kodi.

Sisi tunawaona tu awamu hii ya wafanyabishara mnavyoingia kwenye system,soon yatajulikana mbivu na mbichi
 
Matapeli wakubwa siku zote uwa wanatafta jinsi ya kupga picha wakiwa na viongozi ili kuaminika.
Hata mama wa Namaingo alikuwa ana mingle na kuhakikisha anapata picha na viongozi. Ni wazuri katika manipulation.
 
Hivi lazima kila kitu mpinge nyie chadema?
 
Wapi nimeandika au nimejitambulisha kuwa mimi ni chadema!?

Chadema ni chama/taasisi na mimi ni mtu/individual.
Utter Nonsense!
Mtu kaeleza ametapeliwa a to z wewe unabisha tena.hajaomba msaada kwa mtu wala kasema tu iwe funzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…