Tetesi: Mfanyabiashara Tanzania atapeliwa milioni mia sita na kufilisika

Tetesi: Mfanyabiashara Tanzania atapeliwa milioni mia sita na kufilisika

Mtu kaeleza ametapeliwa a to z wewe unabisha tena.hajaomba msaada kwa mtu wala kasema tu iwe funzo
Kama unatazama km 2 huwezi elewa ila km unatazama zaidi ya km10 utajua ni uongo...uliopangwa bila ata ya kutumia akili.

Kama pia hujui hii ina maana gani kwenye masuala ya ulipaji kodi basi baki km ulivyo
 
Hivi nyinyi mnaodai wanajisemesha kutapeliana ili kuitrick serikali so huyo Khadija anayedeal investors wengine awe tayari jina lake lipakwe matope kisa kodi? Ambayo ina loopholes kibao kuivuka?

Nice thinking ila siyo leo.
 
Ni hivi,anajichafua then anajisafisha baada ya kufanikiwa...simple

Aya yanatokea sana Kenya,unakubaliana na mwenzako kuchafuana kwa faida fulani halafu mmoja nakimbilia mahakamani ili uje umsafishe
 
Kama unatazama km 2 huwezi elewa ila km unatazama zaidi ya km10 utajua ni uongo...uliopangwa bila ata ya kutumia akili.

Kama pia hujui hii ina maana gani kwenye masuala ya ulipaji kodi basi baki km ulivyo
Sijui
Ni possible hivo ila mmmh
 
Matapeli wakubwa siku zote uwa wanatafta jinsi ya kupga picha wakiwa na viongozi ili kuaminika.
Hata mama wa Namaingo alikuwa ana mingle na kuhakikisha anapata picha na viongozi. Ni wazuri katika manipulation.
Kuna mdada aliwapiga wenzake insta juzi nae
Eti mchezo wa milioni tano kwa mwezi
Fasta kavuta milioni hamsini.
Kumbe hana hata duka
Kalipia tu frem kwenye mall kubwa miezi mitatu .watu wanajifanya matawi ili wapige matukio
 
Yes, make them believe unazo, utawapiga sana. Hata FX traders wale waongo waongo uwa picha zao ni kuendesha magari makali, wanapost wanakula maisha ili kukuaminisha kuww wwnatengeneza pesa na wewe utaamini kila unachoambiwa.
 
Back
Top Bottom