Autodidacts
JF-Expert Member
- Jun 9, 2021
- 1,165
- 1,804
Kama unatazama km 2 huwezi elewa ila km unatazama zaidi ya km10 utajua ni uongo...uliopangwa bila ata ya kutumia akili.Mtu kaeleza ametapeliwa a to z wewe unabisha tena.hajaomba msaada kwa mtu wala kasema tu iwe funzo
Ni hivi,anajichafua then anajisafisha baada ya kufanikiwa...simpleHivi nyinyi mnaodai wanajisemesha kutapeliana ili kuitrick serikali so huyo Khadija anayedeal investors wengine awe tayari jina lake lipakwe matope kisa kodi? Ambayo ina loopholes kibao kuivuka?
Nice thinking ila siyo leo.
SijuiKama unatazama km 2 huwezi elewa ila km unatazama zaidi ya km10 utajua ni uongo...uliopangwa bila ata ya kutumia akili.
Kama pia hujui hii ina maana gani kwenye masuala ya ulipaji kodi basi baki km ulivyo
Kuna mdada aliwapiga wenzake insta juzi naeMatapeli wakubwa siku zote uwa wanatafta jinsi ya kupga picha wakiwa na viongozi ili kuaminika.
Hata mama wa Namaingo alikuwa ana mingle na kuhakikisha anapata picha na viongozi. Ni wazuri katika manipulation.
Yes, make them believe unazo, utawapiga sana. Hata FX traders wale waongo waongo uwa picha zao ni kuendesha magari makali, wanapost wanakula maisha ili kukuaminisha kuww wwnatengeneza pesa na wewe utaamini kila unachoambiwa.Kuna mdada aliwapiga wenzake insta juzi nae
Eti mchezo wa milioni tano kwa mwezi
Fasta kavuta milioni hamsini.
Kumbe hana hata duka
Kalipia tu frem kwenye mall kubwa miezi mitatu .watu wanajifanya matawi ili wapige matukio
πππππππMimi siwezi kutapeliwa na watu wazembe na wenye vitambi kama hao, pesa niipate kwa tabu hivi ndio niwape hao watu tuwekeze? Msinizoee