Mfanyabiashara wa Arushaa aeleze jinsi Task Force walivyomnyang'anya kiwanda chake

Mfanyabiashara wa Arushaa aeleze jinsi Task Force walivyomnyang'anya kiwanda chake

..kuna umuhimu wa kujua Task Force walikuwa wakipewa maelekezo na nani.

..sikilizeni sakata la huyu Mfanyabiashara wa Arusha jinsi alivyonyang'anywa kiwanda chake.

View: https://www.youtube.com/watch?v=js9jyBLemIY

Kwamba hujui walikuwa wanapewa Maelekezo na nani au unajitoa ufahamu Kwa unafiki?

Hizo ndio kazi za Magufuli alizoziweza ambazo Makonda wenu anasema ndio role model wake hivyo nae atakuja kuwafanya vivyo hivyo.
 
Aliweka kiwanda chake kwenye kiwanda cha umma cha National Milling bila mkataba unaoeleweka.Kwa kutumia umaarufu wake ikawezekana.Ilipochunguzwa akapigwa chini ndio sababu haendi mahakamani. Uporwe kiwanja ulalamike kwenye media?
Hicho ndicho pia alichofanya kuvamia eneo la kijana wa Marehemu Titus Mollel alipoondolewa na Mahakama akakimbilia kwenye media kudai ameporwa.
 
Zingatia pia kuwa ni monaban huyu huyu ndiye amepora eneo la railway station na kuligeuza kuwa car wash na parking ya malori, huyo mzee ni kibaka tu,alikuwa mbeba mikoba wa mzee ngoyai.
 
Back
Top Bottom