Mfanyabiashara wa Arushaa aeleze jinsi Task Force walivyomnyang'anya kiwanda chake

Mfanyabiashara wa Arushaa aeleze jinsi Task Force walivyomnyang'anya kiwanda chake

Kwamba hujui walikuwa wanapewa Maelekezo na nani au unajitoa ufahamu Kwa unafiki?

Hizo ndio kazi za Magufuli alizoziweza ambazo Makonda wenu anasema ndio role model wake hivyo nae atakuja kuwafanya vivyo hivyo.

..kuna ulazima wa kuunda Tume ya Uchunguzi ili kuwabaini wote waliohusika ktk Task Force.

..Jpm amekufa lakini waliokuwa wakitekeleza maagizo yake wapo mahali fulani ndani ya serikali yetu. Je, jambo hilo ni sahihi?
 
Wengine walikuwa qanagawana zile za plea bargain nani aunde hiyo timu?

CCM Huwa wanalindana
 
Mbona tunasikiliza maelezo ya upande mmoja, Hatujasikia maelezo ya upande wa pili, tutawezaje kutoa hukumu?
 
Back
Top Bottom