Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Itazame hii pisi jamani imepigwa risasi na hii mijitu isiyo na huruma kabisa!
Pumzika kwa amani damu yako na za watanzania wengine zitaungana kulipa dhuluma ya uhai huu kwa magaidi ya nchi hii!
Kutoka kwenye Page ya IG ya Twaha Mwaipaya Mfanyabiashara wa Kariakoo Sherry amefariki kwa kupigwa Risasi
Huyu kafariki kwenye bodaboda alipoona machafuko akafunga duka lake asepe alipanda boda na dada ake🥹🥹🥹amefia mikononi mwa dada ake kwny boda