Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
RIEP, daughter of Tanzania. Damu yako italeta ukombozi wa taifa hili, sooner or later!Itazame hii pisi jamani imepigwa risasi na hii mijitu isiyo na huruma kabisa!
Pumzika kwa amani damu yako na za watanzania wengine zitaungana kulipa dhuluma ya uhai huu kwa magaidi ya nchi hii!
Kutoka kwenye Page ya IG ya Twaha Mwaipaya Mfanyabiashara wa Kariakoo Sherry amefariki kwa kupigwa Risasi
Tanganyika mkuu , sio Tanzania🙏RIEP, daughter of Tanzania. Damu yako italeta ukombozi wa taifa hili, sooner or later!
Ni stray bullet au walidhamiria kumnyamazisha?
Huyu si mtanzania nadhani ndiyo hao walioletwa na wasiojulikana kutuvurugia amani na mshikamanoItazame hii pisi jamani imepigwa risasi na hii mijitu isiyo na huruma kabisa!
Pumzika kwa amani damu yako na za watanzania wengine zitaungana kulipa dhuluma ya uhai huu kwa magaidi ya nchi hii!
Kutoka kwenye Page ya IG ya Twaha Mwaipaya Mfanyabiashara wa Kariakoo Sherry amefariki kwa kupigwa Risasi
Huyu kafariki kwenye bodaboda alipoona machafuko akafunga duka lake asepe alipanda boda na dada ake🥹🥹🥹amefia mikononi mwa dada ake kwny boda
Mbona povu lote hilo wakati humu JF tunajuzana kama hutaki kujibu acha au njoo na ile ID kujifanya kusifia.Unajua we jamaa unakuwa kama MPUMBAVU mara nyingi....swali ulilouliza lina mantiki gani?
Sijajua una lenga nini, ila wapo walio fariki huku waki fanya jitihada wengine wasife.
Hawana picha au video, familia zao hazijui walipo au wako katika hali gani.
Pumzikeni ndugu zetu, haki itakuja tu.
Mbona povu lote hilo wakati humu JF tunajuzana kama hutaki kujibu acha au njoo na ile ID kujifanya kusifia.
Una hasira sana keyboard warrior?Unaona sasa ulivyo MPUMBAVU?
Una hasira sana keyboard warrior?
Umeandika jambo la msingi sana mkuu!Sijajua una lenga nini, ila wapo walio fariki huku waki fanya jitihada wengine wasife.
Hawana picha au video, familia zao hazijui walipo au wako katika hali gani.
Pumzikeni ndugu zetu, haki itakuja tu.
Stray bullet ya wap kwan kulikuwa na mharif wanamtafata ? Things will fall apart lestNi stray bullet au walidhamiria kumnyamazisha?
Samia asema si mtanzania huyoHuyu nae alikuwa anaandamana?