Mfanyabiashara wa Vijora na Vitambaa, karibu uulize chochote kuhusiana na hiyo biashara

Mfanyabiashara wa Vijora na Vitambaa, karibu uulize chochote kuhusiana na hiyo biashara

Kwa upande wa faida ni bora kununua jora na kukata na kushona vijora au kununua vijora vilivyotayari?

Jora moja unaweza kutoa vijora vingapi vyenye mitandio na visivyo na mitandio ?

Bei ya majora ya vitambaa ni shilingi ngapi kwa jumla na machimbo yake ni yapi ?

Faida ipo vipi kwa biashara ya hii ya vitambaa na vijora ?
 
Bora kununua vijora na kuuza...
Kama ishi ya kununua vitambaa na kushona basi wewe mwenyew uwe fundi na sio kupeleka kwa mafundi hapo utaona faida

Ni vitu viwili tofauti inategemea unataka vyenye mitandio au visivyo na mitandio.
Kuna local na special

Kwa ujumla Majora ya vitambaa ni laki mbili mpaka laki tatu..
Machimbo yake ni kariakoo mtaa wa shimoni kule... Ila vitambaa kama vitambaa sehemu ni nyingi kwa sasa rangi tatu ndo best

Faida ni nyingi kama tagert yako ikawa sehemu za vijijini sana sana..
Vitambaa unauza hv hvo sio ukate utengeneze kijora hapo utaona faida yake....
 
Back
Top Bottom