Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Mtaji tunaanza na laki tano mpaka laki tatu kwa small scale business...Mtaji kwa anae ataka auze jumla ukoje na faida zake
Bora kununua vijora na kuuza...Kwa upande wa faida ni bora kununua jora na kukata na kushona vijora au kununua vijora vilivyotayari?
Jora moja unaweza kutoa vijora vingapi vyenye mitandio na visivyo na mitandio ?
Bei ya majora ya vitambaa ni shilingi ngapi kwa jumla na machimbo yake ni yapi ?
Faida ipo vipi kwa biashara ya hii ya vitambaa na vijora ?
Wewe kuwa seriouslyKijoro ni nini?
Safi sana....oya mwambie shemwji apike pilau jpili naja hapo tunakula pilau huku twamcheki mnyama simba mawindoniMkuu mtaji wake kiasi gani nataka shemeji yako aanze hii biashara hapa kigamboni
Jibu swali linahusiana na hiyo biashara.Wewe kuwa seriously
Kijora au kijoroJibu swali linahusiana na hiyo biashara.
Laki tatu mpaka laki tano kwa small scale...Mkuu mtaji wake kiasi gani nataka shemeji yako aanze hii biashara hapa kigamboni
Karibu sana kakaSafi sana....oya mwambie shemwji apike pilau jpili naja hapo tunakula pilau huku twamcheki mnyama simba mawindoni
Unataka kuona nini kijanaTuone
Nishaedit mkuu nilikosea.Kijora au kijoro
Shukrani sana kakaLaki tatu mpaka laki tano kwa small scale...
Kama large scale tafuta frem na mambo mengine mi ntakupa chimbo na bei za jumla
Kijora ni vazi la wadada wa pwani lile ambalo huwa wanavaaa ili wawe confotable yaani full upepoNishaedit mkuu nilikosea.
Ebwna in other news, huko kigamboni kuchimba kisima ni kiasi gani?Karibu sana kaka