Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
- Thread starter
-
- #21
Msije mkaaribu tuu uzi wangu maana mna mambo ya ajabu mshaanza mambo ya kuchimba visima..Ebwna in other news, huko kigamboni kuchimba kisima ni kiasi gani?
Aya bana wacha tueendelee na vijora.. mzigo unauzajeMsije mkaaribu tuu uzi wangu maana mna mambo ya ajabu mshaanza mambo ya kuchimba visima..
Bora iwe visima vile visima kweli kweli wakuu
Mzigo mi nauza njee hapa ndani hapana...Aya bana wacha tueendelee na vijora.. mzigo unauzaje
Nataka large scale kaka.Laki tatu mpaka laki tano kwa small scale...
Kama large scale tafuta frem na mambo mengine mi ntakupa chimbo na bei za jumla
Bei ya jumla ipo kwa maana mbili..Toa Bei ya jumla, idadi vinakuwa vingapi, Bei ya vyenye mtandio na visivyo na mtandio.
Duuh nishatoa muongozo juu hapoJora moja linauzwa bei gani? Na linakuwa na urefu wa mita ngapi?
Karbu mkuu l..Nataka large scale kaka.
Wewe jiheshimu ππππKumbe ndo unauza vijora vya Shangazi Dorry?
Dogo kimekulambaaaa πππππ
Jiheshimu wee kwani, LolWewe jiheshimu ππππ
Nisaidie kujua low scaleKarbu mkuu l..
Large scale maana yake unauza vile msomali og na batiki,
Kwa vitambaa maana yake unauza vile vya grade one vizito..
Ambavyo ipo hivi ili uweze kufanya hii kazi tambua wateja wako ni watu wa namna gani ni uswazi au ni ushuani...
Baada ya hapo unaanza kufata machimbo jap...
Fafanua mkuuNisaidie kujua low scale
Hee si ulisema mtaji WA biashara aΓ±zia milioni kumi wewe chini ya hapo haiwezekani??Laki tatu mpaka laki tano kwa small scale...
Kama large scale tafuta frem na mambo mengine mi ntakupa chimbo na bei za jumla
Miss huku tupo seriously...Hee si ulisema mtaji WA biashara aΓ±zia milioni kumi wewe chini ya hapo haiwezekani??
Hapo juu umeeleza maana ya large scale ndo nikaomba pia ufafanuzi wa small scaleFafanua mkuu