Ukute ndo yaleyale ya upinde......Huyu kibonge sijui anawapa nini hawa marais. Smh
wanapiga deals za tender mbalimbali na inaonekana anawagea % za kutosha na ndio maana wanamfurahiaHuyu kibonge sijui anawapa nini hawa marais. Smh
wanapiga deals za tender mbalimbali na inaonekana anawagea % za kutosha na ndio maana wanamfurahia
wanapiga madeals ya pesa ndefu kupitia tenders wanazompa,we waza ujinga watu wanapiga mizigo uko wakistaafu wanajilia maisha tuUkute ndo yaleyale ya upinde......
Una maneno kusuta ya taarabu kama wanawake wa Pwani.Ndege wafananao,nyie maskini tafuteni mnaofanana pia
Boya sana halafu anawarekodi wote.Huyu jamaa sijui ana ushawishi gani hapa Afrika ?
Sema ujana bado unampa shida!.huwezi kuta dangote na mambo haya.
Kama sio anawaunganisha na waganga wa kienyeji basi ni money mule, money launder au private fixer kama walivyokuwa Jeffrey Epstein na Yevgeny Prigozhin.Huyu kibonge sijui anawapa nini hawa marais. Smh
Dangote babu yule na hajapitia hustling za kitaa wala hata mahabusu haifahamu kwa ndani ikoje hivyo mtofautishe na huyu dogo mjelajela ambaye kapiga sana makorongwee.Huyu jamaa sijui ana ushawishi gani hapa Afrika ?
Sema ujana bado unampa shida!.huwezi kuta dangote na mambo haya.
Sub-sahara Africa is shithole indee
true uyo ni dalali,maaaaaaaama twafaaaa,niliona deal ya wachina ya JKIA eti yeye amesimamia mchakato wa tender yaani uyo jamaa kama ROSTAM tu wanaishi kwa madeal ya udalaliHuyo mzala anatoa % ya kufa mtu ni agent wa makampuni ya wachina anaingia Nchi yeyote kutafuta kazi akilipwa yeye anatafuta kampuni itakayofanya kazi kwa offer yake mzala kagundua deal zuri maana viongozi wetu ndio wanapenda huku Nchi zikiangamia..
Huyu jamaa ndio anaebeba ma deal yote ya mzee baba Emerson Nangagwa, ndie middleman wa deals zote za Zimbabwe. Viongozi wa Africa wamegundua kuweka mtu kati ili wao waonekane wasafi.Huyu jamaa sijui ana ushawishi gani hapa Afrika ?
Sema ujana bado unampa shida!.huwezi kuta dangote na mambo haya.
Huyu jamaa ndio anaebeba ma deal yote ya mzee baba Emerson Nangagwa, ndie middleman wa deals zote za Zimbabwe. Viongozi wa Africa wamegundua kuweka mtu kati ili wao waonekane wasafi.
Naona Rostam Aziz anazidi kujipenyeza Kenya kwa kumuwezesha dogo kuoa mtoto wa Ruto.
true uyo ni dalali,maaaaaaaama twafaaaa,niliona deal ya wachina ya JKIA eti yeye amesimamia mchakato wa tender yaani uyo jamaa kama ROSTAM tu wanaishi kwa madeal ya udalali