Mfanyabiashara wa Zimbabwe Wicknell akiendeshwa kwenye gari na Rais wa Kenya, William Ruto

Kwamba marais wote hawamuoni mtu mwingine zaidi ya huyu kibonge?

Wabongo mnapenda conspiracy theories, mbongo kuoa mtoto wa Ruto ni kazi ya Rostam? Mnajua hata walipokutana?
Hapana hujaelewa, yeye kuonekana na marais mbali mbali ni kumuwakilisha mkulu wa Zimbabwe, sio marais wote wanampa deals yeye. Huyo jamaa kumuoa mtoto wa Ruto ndio kaunganishwa na Rostam, hilo halina ubishi na hamna conspiracy theories yoyote huo ndio ukweli wenyewe.
 
Isaya katoa speech UN at 15yo na kakutana na queen Elizabeth as well napo aliunganishiwa na Rostam? Kwanini hujaonganishwa wewe? Rostam ana nguvu hadi ya kuchagulia watu wake/wame. Really laughable 😂
 
Wabongo hao mkuu na hapo ataendelea kukubishia tena akiwa na facts zake kabsa 😂😂
 
Back
Top Bottom