Hapana hujaelewa, yeye kuonekana na marais mbali mbali ni kumuwakilisha mkulu wa Zimbabwe, sio marais wote wanampa deals yeye. Huyo jamaa kumuoa mtoto wa Ruto ndio kaunganishwa na Rostam, hilo halina ubishi na hamna conspiracy theories yoyote huo ndio ukweli wenyewe.Kwamba marais wote hawamuoni mtu mwingine zaidi ya huyu kibonge?
Wabongo mnapenda conspiracy theories, mbongo kuoa mtoto wa Ruto ni kazi ya Rostam? Mnajua hata walipokutana?
Hapana hujaelewa, yeye kuonekana na marais mbali mbali ni kumuwakilisha mkulu wa Zimbabwe, sio marais wote wanampa deals yeye. Huyo jamaa kumuoa mtoto wa Ruto ndio kaunganishwa na Rostam, hilo halina ubishi na hamna conspiracy theories yoyote huo ndio ukweli wenyewe.
Wabongo hao mkuu na hapo ataendelea kukubishia tena akiwa na facts zake kabsa ππIsaya katoa speech UN at 15yo na kakutana na queen Elizabeth as well napo aliunganishiwa na Rostam? Kwanini hujaonganishwa wewe? Rostam ana nguvu hadi ya kuchagulia watu wake/wame. Really laughable π
inashangaza sanaHuyu kibonge sijui anawapa nini hawa marais. Smh
Wabongo hao mkuu na hapo ataendelea kukubishia tena akiwa na facts zake kabsa ππ
Either Anawabandua or Wanambandua yote yanawezekana.Huyu kibonge sijui anawapa nini hawa marais. Smh
Pumbavu hauna akili. Mtu alishafariki atawabandua? Atabanduliwa?Either Anawabandua or Wanambandua yote yanawezekana.