Mfanyabiashara Yona Sonelo: Jenista alikuwa na furaha baada ya kutoteuliwa

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mfanyabiashara Yona Sonelo kutoka Jijini Dar es salaam amesema alikuwa miongoni mwa watu wa karibu waliokuwa wakifahamiana vyema na marehemu Jenista Mhagama, na kueleza kuwa alimpa moyo baada ya kutoteuliwa katika Baraza jipya la Mawaziri hivi karibuni, akimsihi asijiumize moyo bali amshukuru Mungu.

Akizungumza nje ya Kanisa Katoliki Parokia ya Kiwanja cha Ndege Jijini Dodoma wakati wa Misa Takatifu ya kuuaga mwili wa marehemu, Sonelo amesema baada ya kutotajwa kwenye Baraza hilo, Jenista alionekana kuwa mwenye furaha na mwenye utulivu wa moyo. Ameeleza kuwa marehemu alikuwa akimwambia anaona Mungu amempendelea, kwani alipata bahati ya kulitumikia taifa kwa kipindi kirefu bila kuenguliwa, jambo alilolichukulia kama neema kubwa maishani mwake.

Toa uongo wa kipumbavu
 
Huyu

Huyu ni wa nne anatoa statement tofauti kama waliotangulia🤔
 
Pumbavu kenge wewe. Yaani nikiona video ndio kweli alifurahi kutoteuliwa?
Quite possible! Zipo scenarios nyingi za mtu kufurahi kutoteuliwa. Kwa mfano, kama mtu hapendi kufanya kazi chini ya mtu anayeteua, anaweza kufurahi kutoteuliwa.
 
Hiyo 'scenario' haimhusu mtu aliyekuwa akigaagaa kwenye tope kumfurahisha mteuzi.

I have no sympathy for such miscreants
Inawezekana kugaagaa ni utamaduni wa watu wa nyanda za juu kusini. Kuna mwingine (nadhani Mbeya) nilimuona akifanya hivyo wakati wa campaigns za 2020.
 
Kuna tamaduni nyingi za kijadi mbovu ambazo kwenye utamaduni wa kitaifa/kiTanzania hazimo kabisa; zimekufa zenyewe bila ya shurti toka kwa yeyote'

Upumbavu wa namna hii nilianza kuuona kwenye picha ya watu waliokuwa wamevaa magwanda ya CCm wakimpigia magoti mke wa Kikwete Salma huku wakiimba. Hiyo ilikuwa ni kwenye utawala wa Kikwete.

Iliniudhi sana.

Sasa naona hizi tamaduni za kishenzi zinashamiri tena. Hii ni kwa sababu ya uchawa ili kutafuta upendeleo fulani.
 
Back
Top Bottom