Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Toa uongo wa kipumbavuMfanyabiashara Yona Sonelo kutoka Jijini Dar es salaam amesema alikuwa miongoni mwa watu wa karibu waliokuwa wakifahamiana vyema na marehemu Jenista Mhagama, na kueleza kuwa alimpa moyo baada ya kutoteuliwa katika Baraza jipya la Mawaziri hivi karibuni, akimsihi asijiumize moyo bali amshukuru Mungu.
Akizungumza nje ya Kanisa Katoliki Parokia ya Kiwanja cha Ndege Jijini Dodoma wakati wa Misa Takatifu ya kuuaga mwili wa marehemu, Sonelo amesema baada ya kutotajwa kwenye Baraza hilo, Jenista alionekana kuwa mwenye furaha na mwenye utulivu wa moyo. Ameeleza kuwa marehemu alikuwa akimwambia anaona Mungu amempendelea, kwani alipata bahati ya kulitumikia taifa kwa kipindi kirefu bila kuenguliwa, jambo alilolichukulia kama neema kubwa maishani mwake.
Hata video umeona au njaa inakusumbua tuToa uongo wa kipumbavu
Pumbavu kenge wewe. Yaani nikiona video ndio kweli alifurahi kutoteuliwa?Hata video umeona au njaa inakusumbua tu
USSR
Huyu ni wa nne anatoa statement tofauti kama waliotangulia🤔Mfanyabiashara Yona Sonelo kutoka Jijini Dar es salaam amesema alikuwa miongoni mwa watu wa karibu waliokuwa wakifahamiana vyema na marehemu Jenista Mhagama, na kueleza kuwa alimpa moyo baada ya kutoteuliwa katika Baraza jipya la Mawaziri hivi karibuni, akimsihi asijiumize moyo bali amshukuru Mungu.
Akizungumza nje ya Kanisa Katoliki Parokia ya Kiwanja cha Ndege Jijini Dodoma wakati wa Misa Takatifu ya kuuaga mwili wa marehemu, Sonelo amesema baada ya kutotajwa kwenye Baraza hilo, Jenista alionekana kuwa mwenye furaha na mwenye utulivu wa moyo. Ameeleza kuwa marehemu alikuwa akimwambia anaona Mungu amempendelea, kwani alipata bahati ya kulitumikia taifa kwa kipindi kirefu bila kuenguliwa, jambo alilolichukulia kama neema kubwa maishani mwake.
Quite possible! Zipo scenarios nyingi za mtu kufurahi kutoteuliwa. Kwa mfano, kama mtu hapendi kufanya kazi chini ya mtu anayeteua, anaweza kufurahi kutoteuliwa.Pumbavu kenge wewe. Yaani nikiona video ndio kweli alifurahi kutoteuliwa?
Hiyo 'scenario' haimhusu mtu aliyekuwa akigaagaa kwenye tope kumfurahisha mteuzi.Quite possible! Zipo scenarios nyingi za mtu kufurahi kutoteuliwa. Kwa mfano, kama mtu hapendi kufanya kazi chini ya mtu anayeteua, anaweza kufurahi kutoteuliwa.
Sometimes huwa una busaraHiyo 'scenario' haimhusu mtu aliyekuwa akigaagaa kwenye tope kumfurahisha mteuzi.
I have no sympathy for such miscreants
Inawezekana kugaagaa ni utamaduni wa watu wa nyanda za juu kusini. Kuna mwingine (nadhani Mbeya) nilimuona akifanya hivyo wakati wa campaigns za 2020.Hiyo 'scenario' haimhusu mtu aliyekuwa akigaagaa kwenye tope kumfurahisha mteuzi.
I have no sympathy for such miscreants
Kuna tamaduni nyingi za kijadi mbovu ambazo kwenye utamaduni wa kitaifa/kiTanzania hazimo kabisa; zimekufa zenyewe bila ya shurti toka kwa yeyote'Inawezekana kugaagaa ni utamaduni wa watu wa nyanda za juu kusini. Kuna mwingine (nadhani Mbeya) nilimuona akifanya hivyo wakati wa campaigns za 2020.