Mfanyakazi anahitajika alie Karibu na Kimara/Morogoro Road Mshahara 150k

The bump

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2019
Posts
2,359
Reaction score
3,445
Kijana wa kike/kiume Umri kuanzia Miaka 20 na Kuendelea.

Uwe na elimu walau Form 4 na Kuendelea

Ujue Kusoma na Kuandika na Kuhesabu (hesabu za Jumlisha na Kutoa zipande haswa)

Muda wa Kuingia kazini : 12:50 asubuhi,means saa 1 kamili igonge upo kazini)

Muda wa Kutoka kazini : 3:50 usiku,means saa 4 kamili ikukute ushaanza safari unaondoka kutoka kazin.

MSHAHARA : 150,000 (kwa Mwezi) Mshahara utakaodumu kwa.miezi mi 3 mfululizo mpk utakapoonekana ni mfanyakazi wa kudumu.

Kuanzia mwezi wa 4 na kuendelea Mshahara utakua 300,000 na kuendelea jinsi unavyodumu kazini mshahara unaongezeka, ila kwa kuanzia mshahara ni 150,000 kwa mwezi.

CHAKULA : Kwakua Unawahi Kuingia kazini na Kuchelewa Kutoka Utapata kazini MILO MI 3 yani utakula ASUBUHI - MCHANA - USIKU (siku za wali na vyakula vya kubaki kuhifadhi)

Kwa siku za Ugali na vyakula vya mara 1 Mlo ni ASUBUHI na MCHANA tu.

Mawasiliano Whatsapp ONLY, WHATSAPP Only 0694 794 611

Whatsapp Only 0694 794 611 (usipige maana ukipiga atakae pokea sio mimi na wala hajui chochote kuhusu hili tangazo wala hii kazi)

Fata maelekezo kuhusu MAWASILIANO check me direct Whatsapp or Jamii forum INBOX.

Note : Mfanyakazi ulie tayari Kazi utaanza on SPOT baada ya kuntafuta hii ni ya haraka zaidi.

THANKS
 
Tangazo la kazi umeliandika vizuri sana kama ni nafasi ya ukachero.Mimi nitapata kazi ya ulinzi mkuu?Jus' sitting around and look!
 
Dah ! Vijana watajaa sana hapo diemu na wasapuni hapo !

Nyie sio wale wa good morning mda wote kweli ? iwe mchana usiku, asbh Salam ni good morning!

Kijana anafika anabebeshwa mabesen na sabuni atembeze
Huyu jamaa siyo mtu wa Fulsa mkuu wazee wa Good morning 🤣
Yuko na ofisi zake na seriously atakuwa anahitaji mfanyakazi
 
Back
Top Bottom