Mfanyakazi anahitajika alie Karibu na Kimara/Morogoro Road Mshahara 150k

Laki na hamsa mnaitwa chap ka upepo masaa 15 ya kutumika
 
Unatoa mkataba au mnakubaliana kwa maneno?
Masaa 15 kwa siku? Tz ugai gai mwingi
 
Umeandika tangazo vizuri ila ujaitaja ni kazi gani hacheni kuwa wajanja wajanja taja kazi watu wajue ni ipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…