Mfanyakazi anayeshangilia Ongezeko la Mshahara hajui Hisabati

Aiseee

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
 
Unajisikaje ewe taahira?
 
Eti...wanadai walikuwa wanamategemeo ya kuongezewa kiasi kikubwa, hivyo wanadai nyingeza hii imeshusha ari yao lakini pia imewaongezea msongo wa mawazo!!!

Huu ni unafiki mkubwa, sioni sbabu ya kung'ang'ania kubaki na ujira mdogo, kama kuna mtu au watu wasio ridhika na nyongeza nenda katatufa ajira kwengine, vinginevyo ukibaki halafu ukaanza kuhujumu shughuli za Serikali utaumizwa zaidi.

Nyongeza hiyo ni ndogo lakini ndio uwezo wa Serikali yetu.....unakubali chukua hataki acha,

Tunaiomba Seriakali ianze kufuatilia wale ambao wanalalamika ili iwaachishe kazi kwa masilahi ya umma.
 
Benson Mramba katika umbwiga wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…