Mfanyakazi anayeshangilia Ongezeko la Mshahara hajui Hisabati

Kwa hiyo Imani,tunakusikiliza Kwa sikio Moja,halafu titaamua🤔
 
Wapumbavu watabisha.
 
Nani kakwambia watumishi wanaishi kwa mshahara, mshahara ni kwa ajili ya kuombea mkopo. Sipati picha jinsi mabenk yalivyokenua meno maana tegemeo lao ni kuwakamua watumishi wa umma Ili bank ziende. Unakopa milioni 20 unarejesha milioni 15.Kukopa ni rahisi kukatwa maumivu. Bora ukope uweke kwenye real investment.
 

Mfanyakazi karibia 95% hawajui Hisabati. Wahurumie tu​

 
Pia unaweza kuzingatia ushauri wa Zitto ukawahi nafasi pale Chato[emoji205]
Zitto pamoja na mambo mengine huwa anatumia kinywaji hususan anapokuwa na ishu ya public so huwezi jua alikuwa kwenye mood gani.

Hukumbuki alimuomba radhi Lissu baada ya kumsema?
 
Kiukweli hili ongezeko,na ukilingania mfumuko wa bei za bidhaa muhimu ni hovyo kabisa ,serikali inachea wafanyakazi ,hakuna ongezeko hapo .
Mbaya zaidi tukisema tunaonekana hatuipendi hii awamu,mtandaoni vijana wameajiriwa kuhakikisha ukweli huu hausemwi,tegemea matusi na kejeri

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 

 
Makaburi ya Chato yamefunguka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…