Mfanyakazi mlinzi anahitajika wa kike au kiume

Wewe huna uhitaji najua
Ni kweli, ila nilitaka tu kujua conditions za ajira yako ili niweze kukupa ushauri. Kwa mfano kuajiri mlinzi wa usiku wa kuchunga sehemu muhimu, na awe anaingia kazini kila siku ni kama kujidanganya. Yaani unakuwa ni kama ume-risk mali zako kwa sababu ni vigumu binadamu kukesha kila siku na kulala mchana. Unaweza kujidanganya kuwa atalala mchana na kuzoea lakini bado kuna risky element kubwa ya kutoweza kuwa 100% fit kila siku. Pili, mshahara ukiwa mdogo sana na mali anayochunga ni ya thamani kubwa, pia ni hatari. Tatu kuna namna unaweza kumrahisishia mlinzi wako kazi yake kwa kutumia technology na kumfanya asiwe exposed kwenye hatari za wezi, apate muda kupumzika na asikeshe kwenye harsh envinroment. Kwa kifupi zile zama za kumwambia mlinzi akeshe nje na mshale au gobole zimepitwa na wakati.
 
Ni kweli, ila nilitaka tu kujua conditions za ajira yako ili niweze kukupa ushauri. Kwa mfano kuajiri mlinzi wa usiku wa kuchunga sehemu muhimu, na awe anaingia kazini kila siku ni kama kujidanganya. Yaani unakuwa ni kama ume-risk mali zako kwa sababu ni vigumu binadamu kukesha kila siku na kulala mchana. Unaweza kujidanganya kuwa atalala mchana na kuzoea lakini bado kuna risky element kubwa ya kutoweza kuwa 100% fit kila siku. Pili, mshahara ukiwa mdogo sana na mali anayochunga ni ya thamani kubwa, pia ni hatari. Tatu kuna namna unaweza kumrahisishia mlinzi wako kazi yake kwa kutumia technology na kumfanya asiwe exposed kwenye hatari za wezi, apate muda kupumzika na asikeshe kwenye harsh envinroment
Ukute ha ka laki na nusu wanakususia kila kitu juu yako ukilinde, na lawama juu.
Hako ka mshahara utahitaji hadi barua ya mwenyekiti,wadhamini wawili ili upate kazi.
Bora kuuza nyanya mchana, usiku unalala kutafuta nguvu za kesho,kuliko ku risk kiafya mwezi mzima kukesha kulinda mali za watu wabinafsi
 
Miaka ya nyuma mji wa Moshi na Arusha walikuwa na utamaduni wa kuajiri walinzi wazee sana. Yaani ni kama walikuwa wanaweka mtu wa kutupia jicho sehemu husika nyakati za usiku, ili kubana matumizi kwa sababu walikuwa wanalengesha wale wazee wenye shida na hawana kipato. Hawa walikuwa wanakubali mshahara wowote. Matokeo yake walinzi wengi walikuwa wanashindwa kukesha na wakajikuta wakivamiwa na wezi na wengine kuuawa.
 
Ni kweli, ila nilitaka tu kujua conditions za ajira yako ili niweze kukupa ushauri. Kwa mfano kuajiri mlinzi wa usiku wa kuchunga sehemu muhimu, na awe anaingia kazini kila siku ni kama kujidanganya. Yaani unakuwa ni kama ume-risk mali zako kwa sababu ni vigumu binadamu kukesha kila siku na kulala mchana. Unaweza kujidanganya kuwa atalala mchana na kuzoea lakini bado kuna risky element kubwa ya kutoweza kuwa 100% fit kila siku. Pili, mshahara ukiwa mdogo sana na mali anayochunga ni ya thamani kubwa, pia ni hatari. Tatu kuna namna unaweza kumrahisishia mlinzi wako kazi yake kwa kutumia technology na kumfanya asiwe exposed kwenye hatari za wezi, apate muda kupumzika na asikeshe kwenye harsh envinroment. Kwa kifupi zile zama za kumwambia mlinzi akeshe nje na mshale au gobole zimepitwa na wakati.
Hayo yote nayajua sababu nina utaalamu mkuu
 
Ukute ha ka laki na nusu wanakususia kila kitu juu yako ukilinde, na lawama juu.
Hako ka mshahara utahitaji hadi barua ya mwenyekiti,wadhamini wawili ili upate kazi.
Bora kuuza nyanya mchana, usiku unalala kutafuta nguvu za kesho,kuliko ku risk kiafya mwezi mzima kukesha kulinda mali za watu wabinafsi
Ndio ntny hua mnapost hpa hpa kua mpo kwenye wakati mgumu mnaomba msaada na namba zenu mnaweka ili mtumiwe pesa mkale
 
Ongeza mshahara.laki na elfuhamsini ni Hela ya kula Kwa siku Moja tu Tena umejinyima sana
 
Ndio ntny hua mnapost hpa hpa kua mpo kwenye wakati mgumu mnaomba msaada na namba zenu mnaweka ili mtumiwe pesa mkale
Kwahiyo unataka mtu akeshe mwezi mzima umlipe 150000, hilo eneo kama mpo watu watatu mjichange walau laki moja moja mumpe laki 3 kwa mwezi since mchana yupo free ataangalia namna ajiongeze .
Hiyo laki na nusu anallinda nini kwanza? Isije kuwa studio ya kubana movie au salooni ya kunyoa nywele
 
Naamini hpo ulipo huna kazi na bado unaishi kwa wazazi na huo umri wa 30yrs
 
Back
Top Bottom