Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
Kwa Tanzania wanabakia shule kukariri Past Paper na Tuiton, Hatuna elimuFAHAMU: Kairan Quanzi ametengeneza historia ya kuwa binadamu mwenye umri mdogo zaidi kuajiriwa na kampuni ya Space X inayomilikiwa na Elon Musk.
Tofauti na watoto wengine, Inasemwa alipokuwa na umri wa miaka miwili (2) alikuwa anaweza kuumba maneno yanayotengeneza sentesi kamili, ndipo walimu wake walistajabishwa na uwezo wake kiasi cha kumuombea nafasi ya kusimulia stori kwenye radio, Kutokea hapo alipandishwa madaraja ya Elimu.
Kwa sasa Kairan Quanzi anaumri wa miaka 14 akiwa muhitimu wa Shahada ya uhandisi na inatajwa alifanikiwa kuanza masomo yake ya Uhandisi wa kompyuta tangu akiwa na umri wa miaka 11 na ameajiriwa kwenye kampuni ya Space X kama Software Engineer.
Chanzo: Geniusceleb
View attachment 2653168
Nyir mmewekeza kwenye Tuition na watoto kukaririshwa PastpaperWenzetu elimu zao si kama zetu
Hiki kitu huwa nasema kila siku hapa jf . Wenzetu wanafanya specialization tokea awali , mtoto anakuwa channelled kwenye elimu ambayo ameonesha kuwa na uwezo nayo.Miaka 14 na ana shahada.!!!!!!
Bongo nyoso miaka 30 bado unatafuta C ya historyKipaji, inahuzunisha smtmz mtu miaka 30'S bado ana "risiti" kutafuta C ya History
Kipindi cha likizo wote mchikichini na mwenge.Kwa Tanzania wanabakia shule kukariri Past Paper na Tuiton, Hatuna elimu
Kipindi cha likizo wote mchikichini na mwenge.
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Kipaji, inahuzunisha smtmz mtu miaka 30'S bado ana "risiti" kutafuta C ya History
Namashaka tafsir ya google kiswahili ni tofauti na kilichoandikwa.kuzungumza ukuiwa na miaka miwili ni kitu cha ajabu kwa wazungu eti