Mfanyakazi mpya wa Elon Musk ana umri wa miaka 14

Munch wa annabelletz47

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2019
Posts
1,885
Reaction score
3,227
FAHAMU: Kairan Quanzi ametengeneza historia ya kuwa binadamu mwenye umri mdogo zaidi kuajiriwa na kampuni ya Space X inayomilikiwa na Elon Musk.

Tofauti na watoto wengine, Inasemwa alipokuwa na umri wa miaka miwili (2) alikuwa anaweza kuumba maneno yanayotengeneza sentesi kamili, ndipo walimu wake walistajabishwa na uwezo wake kiasi cha kumuombea nafasi ya kusimulia stori kwenye radio, Kutokea hapo alipandishwa madaraja ya Elimu.

Kwa sasa Kairan Quanzi anaumri wa miaka 14 akiwa muhitimu wa Shahada ya uhandisi na inatajwa alifanikiwa kuanza masomo yake ya Uhandisi wa kompyuta tangu akiwa na umri wa miaka 11 na ameajiriwa kwenye kampuni ya Space X kama Software Engineer.

Chanzo: Geniusceleb

1686427146579.png
 
View attachment 2653168
Kwa Tanzania wanabakia shule kukariri Past Paper na Tuiton, Hatuna elimu
 
Huyo dogo in short ni genius

Mambo za kulinganisha mifumo ya elimu ya bongo na Marekani kwa kisa hiki ni non sense

Dogo ni exceptional hata wenyewe imewashangaza
 
Back
Top Bottom