Mfanyakazi/Mwajiriwa sasa kupewa TIN Number ili kutambulika kama mlipa kodi kupitia PAYE

Mfanyakazi/Mwajiriwa sasa kupewa TIN Number ili kutambulika kama mlipa kodi kupitia PAYE

Biashara za watu
Kupitia uhujumu uchumi.Mtumishi ukikutwa na Mali nyingine kupitia TIN namba ni lzm itaifishwe sera za ujamaa mtumishi inatakiwa uwe masikini.Hata Kama umefanya ujasiliamali kihalali still Hadi waje wakuelewe sio kesho
Kwahiyo unamaanisha tunarudi katika Ujamaa ?!
 
Kwahiyo unamaanisha tunarudi katika Ujamaa ?!
Lipo wazi.Kusomesha watu namba ni ujamaa,lengo watu wawe masikini ili watawaliwe.Kumbuka hakuna dikteta yeyeto duniani mwenye confidence ya kuwatawala matajiri na wasomi wote uogopa challenge sababu ni weupe vichwani kwenye reasoning capacity.
 
Watu wanapeleka TIN namba kwa boss je ni ya nini?
Au ni makato kama ya TRA
?
 
Hizi TIN zinakuja pole pole baadae utasikia.
Ili upate kitambulisho Cha mmachinga lazima uwe na TIN. Kumbuka bila kitambulisho Cha taifa hupati TIN.
KITAMBULISHO CHA NIDA.. 20,000
KITAMBULISHO CHA MMACHINGA 20'000
TIN LAKI.
Mmachinga hajaondoka mjini tu
 
Back
Top Bottom