Da Gladiator
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 1,641
- 2,646
Kwahiyo unamaanisha tunarudi katika Ujamaa ?!Biashara za watu
Kupitia uhujumu uchumi.Mtumishi ukikutwa na Mali nyingine kupitia TIN namba ni lzm itaifishwe sera za ujamaa mtumishi inatakiwa uwe masikini.Hata Kama umefanya ujasiliamali kihalali still Hadi waje wakuelewe sio kesho
Lipo wazi.Kusomesha watu namba ni ujamaa,lengo watu wawe masikini ili watawaliwe.Kumbuka hakuna dikteta yeyeto duniani mwenye confidence ya kuwatawala matajiri na wasomi wote uogopa challenge sababu ni weupe vichwani kwenye reasoning capacity.Kwahiyo unamaanisha tunarudi katika Ujamaa ?!
Sio kinadharia hata ki vitendo ni bure,,,ukitoa pesa ni ujinga wako,,,,unaweza kufanya online registratio kwa masaa chini ya 2 ukapata tin yako ,,gharama bando lako tuKi nadharia ni Bure,