kiraremapojoni
JF-Expert Member
- Nov 30, 2018
- 391
- 512
huko polisi alikuwa anareport kufanya nini maana kama ni kesi inatakiwa iendeshwe mahakamani kama ni ya madai na kama ni jinai police wakisha sikiliza maelezo na kufile basi inakuwa chini ya mwendesha mashtaka wa serikali..Wanajamvi, natumai mnaendelea salama na mapambano ya kila siku. Leo nimekutana na rafiki yangu ambaye alikuwa ni mfanyakazi katika taasisi moja ya serikali. Akaja akapata changamoto kazini akasimamishwa kazi kupisha uchunguzi huku ishu yao ikipelekwa polisi kwa uchunguzi zaidi...
1. Taarifa ya kufukuzwa kazi ilikuwa ni ya maandishi au mdomo?Wanajamvi, natumai mnaendelea salama na mapambano ya kila siku. Leo nimekutana na rafiki yangu ambaye alikuwa ni mfanyakazi katika taasisi moja ya serikali. Akaja akapata changamoto kazini akasimamishwa kazi kupisha uchunguzi huku ishu yao ikipelekwa polisi kwa uchunguzi zaidi...
Alisimamishwa kazi kwa maandishi au mdomo ?Wanajamvi, natumai mnaendelea salama na mapambano ya kila siku. Leo nimekutana na rafiki yangu ambaye alikuwa ni mfanyakazi katika taasisi moja ya serikali. Akaja akapata changamoto kazini akasimamishwa kazi kupisha uchunguzi huku ishu yao ikipelekwa polisi kwa uchunguzi zaidi.
Cha kushangaza amemuambia kama alifukuzwa kazi wakati bado anaripoti polisi na ishu polisi imekwisha ila bado hajarudishwa kazini. Ninaomba mwongozo hili jambo linawezekana au ndo matumizi mabaya ya madaraka.