Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
Ruge kaajiriwa au kajiajiri ?ruge na clouds yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ruge kaajiriwa au kajiajiri ?ruge na clouds yake
Unadis ajira wakati mshahara unaungoja kama unangoja........
Tazama wewe mtumwa wa ajira.
Leo Jpili nimeingiza Mshahara wa walimu wanne wa secondary.
Angalia Profit hapo juu kabisa change into TZS.
Fala wewe. Uoga wako umasikini wako.
cc: Evelyn Salt, Dreka
View attachment 638590
Kuna watu wanaaminishwa kuishi maisha utafikiri wapo ulimwengu wa dunia ya kwanza.Mleta uzi kwny hili nakupa support asilimia zote...tatizo vijana wengi siku hizi tunataka maendeleo haraka haraka ndio wanaishiwa kudanganywa acha kazi nenda shamba sijui nn
Mimi kazi yangu ndio security kwa mahitaji yangu muhimu ktk jamii hizi vitu vingine tunazofanya pembeni ni kwa ajili ya kuongeza kipato tu.
Watu wengi ajira zetu ndio zinatulipia matibabu ktk familia,kodi,ada za watoto na chakula na wengi wetu tunatumia ajira kama security ya kukopea benki.
Tuache kudharau kazi jamani.
Online bussiness hazina Garantee refer D9Acha upumbavu wewe...
Niko kwenye ajira mwaka wa pili huu.
Nimeanza Kutrade Forex mwezi September.
Kwa mpunga naopiga next month naandika resignation letter. Kwanini, kwa sababu mshahara wangu wa mwezi naweza kuupata ndani ya week moja soko likikubali.
Kuajiriwa ni utumwa, ukweli utabaki milele
Uoga wako Umasikini wako (Bila shaka wewe ni Mwalimu wa secondary)
Mimi kazi yangu ndio security kwa mahitaji yangu muhimu ktk jamii hizi vitu vingine tunazofanya pembeni ni kwa ajili ya kuongeza kipato tu.
Watu wengi ajira zetu ndio zinatulipia matibabu ktk familia,kodi,ada za watoto na chakula na wengi wetu tunatumia ajira kama security ya kukopea benki.
Network marketing!Habari wanajukwaa!
Uzi huu ni maalumu kwa ajili ya waajiriwa wa serikali na wale wa sekta binafsi. Pia unawahusu wale watakaoajiriwa siku za machoni.
Kuna upuuzi siku hizi unasambazwa sana na watu mbalimbali unaohusu kupondea ajira(kuajiriwa) na kutukuza kujiajiri.
Katika haya maisha kila mtu ana mpango kazi wake kichwani wa kumwezesha kufika mahali pale anapopahitaji, ili kufika mahali unapopalenga unahitaji ushauri kwa sehemu ndogo sana.
Kwanini niseme ushauri unahitajika kwa sehemu ndogo sana ?
1.Wewe ndiwe mwenye picha halisi ya kule uendako na utakako.
2.Watu wengi hawawezi kubeba mzigo wa mwingine kama mzigo wao. Watu wamejawa wivu (hasa ngozi nyeusi).
3.Watu wanaishi kwa maigizo, mfano humu ndani mtu utakuta amekosa ajira na sasa anasajili line kwa mwezi anaingiza laki mbili tu ila ukiomba ushauri yeye atajiintroduce kama mmiliki wa kampuni na hana mpango wa kuajiriwa tena maishani mwake.
Unaweza kujiajiri ukiwa mwajiriwa na kuzikabili changamoto nyingi kwa urahisi zaidi ya yule asiyeajiriwa. Kivipi?
(A)Ni rahisi kupata mtaji
(B)Ni rahisi kukuza mtaji wako pindi unapoona biashara yako ina soko zuri.
(C)Unaweza kuwageuza wafanyakazi wenzako kuwa kama soko la awali huku ukisoma somo la biashara kwa vitendo.
Note:Usiache kazi mpaka pale utakapoona biashara yako inaweza kuendelea kukuingizia fedha hata kama unaumwa ,hapa namanisha mpaka pale itakapojiendesha yenyewe. Uwe jela, uwe umelazwa n.k system iwe inaoperate, kinyume na hapo usithubutu.
Pia napenda kusema kuwa mafanikio ni pale moyo wa mtu unaporidhika na vile alivyo na si kumiliki magorofa au kampuni. Mwingine hata kuwa mpika chai wa waziri kwake ni mafanikio hivyo acha kumbughuzi ili ajione mnyonge aache kazi.
Masikini anapowashauri masikini wenzake.
Haya padri afu ile avatar yako ilikua inaendana na majibu yako ya shombo......Unanipigia kelele tu.
Saa saba kamili soko la New Zealand linafunguliwa.
Let me take a snap.
Network marketing! trevoforeverKuna watu wameibuka siku hizi, wanajiita Inspirational Or motivational speakers, hawa wanakula sana hela za vijana kwa semina za ujanja ujanja wakihamasisha vijana wajiajiri wakati wao wameajiriwa.
😀😀😀Wewe tajiri unakuja kulalamika mshahara haujaingia jf mara uuze friji
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona matusi sasa[emoji53] [emoji53] ...hapa tubishane kwa hoja na sio matukano. Kama wew unaoana ajira haikufai basi kaa kando, kuna wengine zinawafaa. Mim binafsi ni matunda ya mshahara wa walimu. Usidharau kazi inayomuingizia mtu kipato.Tazama wewe mtumwa wa ajira.
Leo Jpili nimeingiza Mshahara wa walimu wanne wa secondary.
Angalia Profit hapo juu kabisa change into TZS.
Fala wewe. Uoga wako umasikini wako.
cc: Evelyn Salt, Dreka
View attachment 638590
Hajui alikotoka, infact hata anakokwenda hapajui........[emoji57]Daaaah we jamaa si juzi tu ulikua unalilia mshahara leo hii ushakua tajiri wa forex unawaambia wenzio waache kazi?
Ama kweli maisha bila unafiki hayaendi![]()
![]()
😀😀😀
Kila akifungua friji vibua vinamwangalia akaona isiwe shida
You can fool sometimes not all time![emoji32] [emoji16] [emoji40] [emoji24] [emoji16]Kabisa, hatuwezi kuajiriwa wote, hatuwezi kujiajiri wote, hatuwezi kuwa na matajiri wote, hatuwezi kuwa maskini wote n.k
😀😀😀
Kila akifungua friji vibua vinamwangalia akaona isiwe shida
Mwambie R. I. P in advanceKuna jamaa yangu anataka acha kazi aje kufuga kuku ila nimemwambia kuna changamoto kubwa huku dunian kasema Kazi za kuajiriwa zimemchosha