Mfanyakazi usithubutu kuacha kazi kwa kushawishiwa kwa njia yoyote ile

Cha msingi ni kufuata moyo wako,mambo ya kufuata mkumbo utaumia awamu hii ya 5.....Kuna watu wapo kuchuza wenzao kumbe yeye kashapata shavu anawachuzeni nyinyi tu kwenye migomo.
 
Mleta uzi kwny hili nakupa support asilimia zote...tatizo vijana wengi siku hizi tunataka maendeleo haraka haraka ndio wanaishiwa kudanganywa acha kazi nenda shamba sijui nn


Mimi kazi yangu ndio security kwa mahitaji yangu muhimu ktk jamii hizi vitu vingine tunazofanya pembeni ni kwa ajili ya kuongeza kipato tu.

Watu wengi ajira zetu ndio zinatulipia matibabu ktk familia,kodi,ada za watoto na chakula na wengi wetu tunatumia ajira kama security ya kukopea benki.


Tuache kudharau kazi jamani.
 
Kuna watu wanaaminishwa kuishi maisha utafikiri wapo ulimwengu wa dunia ya kwanza.
 
Online bussiness hazina Garantee refer D9
 


Masikini anapowashauri masikini wenzake.
 
Network marketing!
 
Kuna watu wameibuka siku hizi, wanajiita Inspirational Or motivational speakers, hawa wanakula sana hela za vijana kwa semina za ujanja ujanja wakihamasisha vijana wajiajiri wakati wao wameajiriwa.
Network marketing! trevoforever
 
Tazama wewe mtumwa wa ajira.
Leo Jpili nimeingiza Mshahara wa walimu wanne wa secondary.
Angalia Profit hapo juu kabisa change into TZS.
Fala wewe. Uoga wako umasikini wako.
cc: Evelyn Salt, Dreka


View attachment 638590
Mbona matusi sasa[emoji53] [emoji53] ...hapa tubishane kwa hoja na sio matukano. Kama wew unaoana ajira haikufai basi kaa kando, kuna wengine zinawafaa. Mim binafsi ni matunda ya mshahara wa walimu. Usidharau kazi inayomuingizia mtu kipato.

Ila pia kumbuka hata wew mpaka kuanza na hiyo cjui ndo forex, mtaji umeupata kwenye ajira hyohyo ambayo saiv unaitukana[emoji15] [emoji15] Um telling you hata raisi wa nchi yako anayeinstist viwanda naye pia ni muajiriwa. Na kama ajira ni utumwa nasi raisi nae ni mtumwa wa ninyi wananchi mliomuajiri........kutwa hatulii baba wa watu anahangaika kisafiri huku na huko kwa ajiri ya kuwahakikishia maisha bora nyie wananchi mliomuajiri (and of course the guy ana hela ati[emoji39] [emoji39] ) Kwa sababu hiyo nadhan suala la kuajiriwa tusili under look kiasi hiko.

Nna pata shida na kichwa chako kinachoonekana kua chepesi kusahau ulipotoka, na kuona kua umeshamaliza...kama hivo vimilioni mbili ndo vinakufanya uwe hivo ndugu, u wont last long...remember LIFE IS TOO SHORT BUT IT HAS A LONG WAY TO GO........

Sasa kama unaanza kuchanganyikiwa na vimilioni vichache aseee unashida.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Daaaah we jamaa si juzi tu ulikua unalilia mshahara leo hii ushakua tajiri wa forex unawaambia wenzio waache kazi?
Ama kweli maisha bila unafiki hayaendi
Hajui alikotoka, infact hata anakokwenda hapajui........[emoji57]
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Kila akifungua friji vibua vinamwangalia akaona isiwe shida

Unajua friji ikiwa haina kitu unaamua uizime halafu ikikaa siku kazaa haijawashwa kuna harufu inatoa km ukiifungua halaf mbaya zaidi uwe unaishi kwny chumba kimoja...unaona isiwe tabu wacha niuze tu
 
Kabisa, hatuwezi kuajiriwa wote, hatuwezi kujiajiri wote, hatuwezi kuwa na matajiri wote, hatuwezi kuwa maskini wote n.k
You can fool sometimes not all time![emoji32] [emoji16] [emoji40] [emoji24] [emoji16]
 
Padri Mcharo amejivua nguo... kiutu uzima tu chutama
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Kila akifungua friji vibua vinamwangalia akaona isiwe shida

Hahaha wewe nimekushindwa tabia sio kwa kichambo hicho 'vibua'

mi najua ni yale masalia ya mahindi baada ya kutoa zao lake yanabaki majani, sasa majani yanawekwa kwenye jokofu au ndo uganga nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…