Mfanyakazi usithubutu kuacha kazi kwa kushawishiwa kwa njia yoyote ile

Eti kuna wale wanaacha kazi na kujiunga na network marketing kama D9 (kama wanavyodai), hii ni kweli?
 
Yaaap cryptocurrency ni kila siku boss but not other pairs ambazo ni only 5 days
But crypto ni kwa baadhi ya brokers tu
Ni kweli mkuu cyrpo ni 24/7, Nilijua jamaa anamaanisha pairs nyingine.
 
Kuna watu wameibuka siku hizi, wanajiita Inspirational Or motivational speakers, hawa wanakula sana hela za vijana kwa semina za ujanja ujanja wakihamasisha vijana wajiajiri wakati wao wameajiriwa.
yaani hao ndiyo sitaki hata kuwasikia
 
Well said
 
Huwezi kufanikiwa kama umeajiliwa..kuajiliwa kunabana muda,na kukosa fursa duniani..funguka ....
 
Sasa wote tutaacha kazi tuje forex???
Wengine wakafuge, wengine muende forex, wengine wakalime, wengine tubaki kuhudumia umma....
Hapo kwenye kilimo umenena. Ndo mana Mi sitaki kuja Mjini. Napambana na ngedere shambani.
 
Ashauriki mkuu.... Kasema ananyanyasika kazini na mshahara ni Mdogo unaishia kwenye pango LA nyumba ata kununua godoro na kitanda imekua issue sahivi anamwaka mmoja kazini na miezi kadhaa
Mwache aitikie wito wa MOYONI mwake
 
1.Jaribu kuchukua mshahara wako na ugawanye kwa masaa anayotumia kazini
Utakutana kwa lisaa unalipwa 500,1000 au 2000 Je jiulize una malengo ya kufikia wapi katika maisha yako?

2. Kumbuka kiasi chat mshahara unacholipwa ni 10% ya kile unachokizalisha kwa kampuni au taasisi husika unayofanyia kazi yaani kama unalipwa 500,000 kwa mwezi basi uwezo wako wa kuzalisha ni 5,000,000 sasa jiulize mpaka lini utaendelea kuzalisha kiasi kikubwa na wewe kulipwa ma mshahara kadogo?

Shida kubwa kwa waajiriwa ni kujisahau, kuridhika na kushindwa kuruhusu akili kufunguka kujiongezea kipato.
 
Braza nyumba ushamvua jamaa?au unaogopa kuishi kama Lucifer.haaa
Mwanagu ndo nimeambiwa ijumaa naingiziwa mpunga liwalo na liwe bora nichukue mjengo nipangishe coz mi nipo kwenye nyumba ya bure ya serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…