Mfanyakazi w ndani anahitajika

Mfanyakazi w ndani anahitajika

spencer

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
3,599
Reaction score
3,226
Wadau
Mfanyakazi wa ndani anahitajika.
Uzoefu: Two years experiance
Jinsia: Msichana
Elimu😀arasa la saba hadi form IV
Dini: Awe mkristu anayekula mkuu wa meza
Umri: 15-24years
Location: Mwanza-Tanzania
Ukubwa wa familia: Baba,Mama na Watoto wawili(watoto wanasoma)

Salary: 50,000 kwa Mwezi
Renumerations: Atapatiwa nauli ya kwenda na kurudi kwao(popote TZ) mara moja kwa mwaka
Accomodations: Ataishi kwa muajiri kila kitu bure ispokuwa atakuwa anajinunulia nguo zake
Salary Review: Atapandishiwa mshahara wake kati baada ya mwaka kati ya 10,000-15,000/=

mwenye kuhitaji aniPM.
 
niko tayari ila nauliza kati ya baba na mama nani anaanza kurudi nyumbani (ni muhimu kwa ufanisi wangu wa kazi)
 
niko tayari ila nauliza kati ya baba na mama nani anaanza kurudi nyumbani (ni muhimu kwa ufanisi wangu wa kazi)
Napenda tu kujua kuna tatizo gani baba akiwa anawahi kurudi nyumbani kabla ya mama?
 
Napenda tu kujua kuna tatizo gani baba akiwa anawahi kurudi nyumbani kabla ya mama?

wengine tumezaliwa na muonekano wa kike bt tunapiga bambi kama kawaida so mshua akiwahi anaweza akaomba game ukakosa ajira...au
 
Back
Top Bottom