Mfanyakazi wa Bar amuua mchumba wake baada ya kuingia bar hiyo na mwanamke mwingine

Mfanyakazi wa Bar amuua mchumba wake baada ya kuingia bar hiyo na mwanamke mwingine

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299
1376696_2.jpg


Mwanamke mmoja aitwaye Faith Kanario mfanyakazi wa Bar katika mji wa Meru amemchoma visu na kumuua mpenzi wake waliodumu kwa miaka 2 baada ya mwanaume huyo kuwanunulia rafiki zake bia

Mashahidi wanasema mwanaume huyo mwalimu wa Shule ya Waislam Meru aliingia kwenye baa anayofanya kazi mwanamke huyo wakiwa wameshikana mikono mapema siku hiyo

Polisi wa Kaunti ya Meru wamemshikilia mwanamke huyo na bado wanafanyia upelelezi tukio hilo

===================

A bar attendant in Meru town on Saturday stabbed her lover of two years after the man bought his friends beer.

Faith Kanario, 28, stabbed Samuel Mburu four times, twice on the back, and on the stomach and chest.

The Meru Muslim Day secondary school teacher is said to have walked with the woman into the bar earlier in the day.

"They were holding hands when they walked into the Castella Bar," a witness said at the scene.

Another witness said the lady must have been hurt after her boyfriend bought drinks for his friends.

"The man fell down after he attempted to flee from the woman. They were drinking upstairs."

Kanairo, who has been staying with the man for nearly two years, was arrested and is in custody at the Meru police station.

Meru county police commander Nelson Taliti said they have launched investigations into the incident.

The body was taken to Meru Teaching and Referral Hospital mortuary.

On September 26, 2017, Taliti asked residents to use dialogue to resolve land and domestic disputes.

He said land and other domestic disputes have escalated families rivalry, leading to murders or suicides.

"In the last four weeks, five people have been murdered and three have committed suicide after quarrels over land," he told journalists.

Source: The Star Kenya
 
Wakibongo ndio Kwanza anawaleta rafiki zake wakuchune vizuri!
Nahamia Kenya!
 
huwa nacheka sana naposikia wanaume wa kenya mnakichezea sana toka kwa wake na wapenzi wenu.

miili mikubwa, sura za kiume ila mnakichezea shida ni nin? wakuu
 
Wanawake kwenye mapenzi hawataki utani kabisa mapenzi yanauma sana kuna siku nilimfumania demu wangu na mwanaume mwingine namshukuru Mungu alinipa uvumilivu ungekuta nipo magereza muda huu.
 
huwa nacheka sana naposikia wanaume wa kenya mnakichezea sana toka kwa wake na wapenzi wenu.

miili mikubwa, sura za kiume ila mnakichezea shida ni nin? wakuu
Naona wewe ni kama shingo yako na kifua chako vina kisu proof, yaani mwanamke akikuchoma kisu utaskia ni kama umechunwa tu na gathigiriri. Rudia kusoma habari yenyewe afu urejee na umbea wako upya.
 
huwa nacheka sana naposikia wanaume wa kenya mnakichezea sana toka kwa wake na wapenzi wenu.

miili mikubwa, sura za kiume ila mnakichezea shida ni nin? wakuu
Wanaume wa Kenya kama mabinti!! Huwa wanapigwa hawaaaa!! Ilibidi mimi niachane na mpenzi wangu Vai Wainaina!
 
Back
Top Bottom