chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Kuna malalamiko ambao mfanyakazi kutokuwa na hatia lakini wameamua kumnyonga ambaye ambaye hata familia yenyewe imelalamika kuwa sio yeye.
Imani ya wa isalamu ndio inatajawa kuwa imani yenye sheria mkononi sana yenye mafundisho binafsi ambayo yenye chuki kuanzia ngazi zote bila kuweka utaratibu wa suluhu.
Mfanyakazi wa ndani anyongwa UAE kwa mauaji ya mtoto mchanga
==================
Mwanamkemmoja raia wa India aliyekuwa mfanya kazi za ndani huko Umoja wa Falme zaKiarabu amenyongwa baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mtoto wa waajiriwake.
ShahzadiKhan, aliyefanya kazi kwa wanandoa raia wa India, alinyongwa mwezi uliopita,kulingana na serikali ya India.
Kwamujibu wa nyaraka za mahakama ya Abu Dhabi, Khan alimtoa roho mvulana huyo kwakumnyima pumzi, lakini daktari aliyetoa ushahidi kwenye kesi hiyo hakuwezakuthibitisha hilo kwa vile hakuruhusiwa kuifanyia uchunguzi maiti.
Familiaya Khan inasisitiza hakuwa na hatia na kusema mtoto huyo wa miezi minne alikufakutokana na chanjo isiyo sahihi siku ya kifo chake. Wanasema Khan hakupata"uwakilishi wa kutosha" wakati wa kesi yake.
bbc.in

Marekani yasitisha kushirikisha taarifa za kijasusi na Ukraine, mshauri wa usalama wa kitaifa amesema - BBC News Swahili
Mike Waltz pia amesema rais wa Marekani yuko tayari kuondoa usitishaji wa misaada ya kijeshi nchini humo.