Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Mfanyakazi wa ndani uarabuni akiwatesa watoto wa tajiri yake kamera imemkamata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mwanamke anafaa kufungwa jela maisha muuwaji huyoAisee..huruma
TenaMfanyakazi wa ndani uarabuni akiwatesa watoto wa tajiri yake kamera imemkamata
View attachment 2129074
Nakushauri usifungue,ukiona huyo mtoto anavyotupwa chini na kukabwa,siku yako haitakuwa njemaNimeona nisome comments kabla ya kufungua video.
Kuna vitu vinaumiza sana unaweza kujikuta unakuwa affected sana. Na kulingana na comments sitafungua video aisee.
Mfanyakazi wa ndani uarabuni akiwatesa watoto wa tajiri yake kamera imemkamata
View attachment 2129074
Na bora usifungue [emoji3][emoji3]Nimeona nisome comments kabla ya kufungua video.
Kuna vitu vinaumiza sana unaweza kujikuta unakuwa affected sana. Na kulingana na comments sitafungua video aisee.