Mfanyakazi wa ndani uarabuni akiwatesa watoto wa tajiri yake

Dah[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22] nimeumwa lile tumbo
Huyu mfanyakazi ni binadamu katika mwili lakini ni shetani ibilisi mwenyewe katika roho
Kuna shida mahali kama huyo dada sio mgonjwa wa akili kutakuwa na motive behind kwa hayo anayoyafanya hawa wadada wa kazi za ndani kuweni nao makini
 
Swali la kujiuliza je ni kwa nini anafanya hivyo ?

Nb: sija justify matendo yake ila waajiri huwa wananyanyasa sana hawa wadada hasa uko uharabuni tena ukiwa mswahili hivyo wanalipiza kwa watoto au kuwafanyia uchafu mfano kama yule dada hapa bongo aliyedakwa na cctv camera aliekuwa akinyea vyombo vya kupikia jikoni sio mgonjwa wa akili ila alikuwa akiteswa

Mtu mzima unateswa si ushtaki na uondoke!?
Unapoteswa wewe na wewe ukaamua kumtesa mtoto wa aliyekutesa mtoto asiye na hatia tena kwa siri huo ni ukatili uliojaa upumbavu na roho ya ushetani

Kungekua na kipimo cha kupima roho inayomuongoza mtu huyo amejaa roho ya iblisi 100%
 
Kuna shida mahali kama huyo dada sio mgonjwa wa akili kutakuwa na motive behind kwa hayo anayoyafanya hawa wadada wa kazi za ndani kuweni nao makini

Wengi wa hawa wasaidizi wana shida kubwa sana, yaani unaweza dhani umepata wa kukusaidia mambo yaende unavyotaka, kumbe amekuja kumsaidia shetani mambo yake yaende kwako
 
Swali la kujiuliza je ni kwa nini anafanya hivyo ?

Nb: sija justify matendo yake ila waajiri huwa wananyanyasa sana hawa wadada hasa uko uharabuni tena ukiwa mswahili hivyo wanalipiza kwa watoto au kuwafanyia uchafu mfano kama yule dada hapa bongo aliyedakwa na cctv camera aliekuwa akinyea vyombo vya kupikia jikoni sio mgonjwa wa akili ila alikuwa akiteswa
Upo sahihi kabisa
 
Nimeona nisome comments kabla ya kufungua video.

Kuna vitu vinaumiza sana unaweza kujikuta unakuwa affected sana. Na kulingana na comments sitafungua video aisee.
Wala sikushauri ufungue maana sikuwahi kufikiria kama kuna mwanamke mwenye roho ngumu kiasi hiki, anavipiga makofi, anakinyanyua juu kisha anakiachia kinaanguka chini kama kimeanguka kutoka ghorofani, anamaliza kwa kukikaba hadi kinatoa ulimi nje na macho kama kinataka kufa

Huyo akipigwa shaba atakua hatendewi haki

Mimi nitaanza kumbaka kwanza kisha nitakodisha wahuni nao wambake wamuingilie kinyume na maumbile mpaka afe, yaani inatakiwa afe kifo chenye mateso makali

Mimi ni Baba wa watoto wawili nakuruhusu unifanyie uhuni wowote ule lakini wanangu kaa nao mbali

Kifupi hapo ningekuwepo hao watoto wasingefanyiwa hayo mambo, unaacha kudili na boss wako unatesa viumbe wasio na hatia

Kwanza kwenye ishu ya watoto huwa sinaga utani mimi
 
Aisee mtu kama huyu ni wakukatakat vipande tupia mbwa zile...!! Daah hao waharabu wamemfanya nin maana nao ni wakatili balaa
 
What if treatment anayogewa na wazazi kairudisha kwa mtoto?
Mara nyingi iko hivyo,zile hasira anapeleka kwa watoto.na ndo maana yeye mwenyewe anarecord hiyo video.
 
Wala sikushauri ufungue maana sikuwahi kufikiria kama kuna mwanamke mwenye roho ngumu kiasi hiki, anavipiga makofi, anakinyanyua juu kisha anakiachia kinaanguka chini kama kimeanguka kutoka ghorofani, anamaliza kwa kukikaba hadi kinatoa ulimi nje na macho kama kinataka kufa

Huyo akipigwa shaba atakua hatendewi haki

Mimi nitaanza kumbaka kwanza kisha nitakodisha wahuni nao wambake wamuingilie kinyume na maumbile mpaka afe, yaani inatakiwa afe kifo chenye mateso makali

Mimi ni Baba wa watoto wawili nakuruhusu unifanyie uhuni wowote ule lakini wanangu kaa nao mbali

Kifupi hapo ningekuwepo hao watoto wasingefanyiwa hayo mambo, unaacha kudili na boss wako unatesa viumbe wasio na hatia

Kwanza kwenye ishu ya watoto huwa sinaga utani mimi
Mkuu huenda ulikuwa na nia nzuri tu kunihabarisha but its too much of a narration bila hata kutizama video.

That was totally uncalled for. Ningetaka details zote hizo ningefungua video.
 
Aseh Kuna wanawake wana roho mbaya sana. Unawezaje kumfanya mtoto hivi bila hata chembe ya huruma kidogo.. mtoto mdogo ambaye ni innocent... kwanini kama ni hasira asimalizie kwa mtu mzima mwenzake badala ya kids?

Doh...
 
CCM ni janga la kitaifa na kimataifa, kataa CCM.
 
Mkuu huenda ulikuwa na nia nzuri tu kunihabarisha but its too much of a narration bila hata kutizama video.

That was totally uncalled for. Ningetaka details zote hizo ningefungua video.
Ni bora nilivyokuhadithia kuna mwanaume mwenzangu hapa kazini kashindwa kuiangalia hadi mwisho

Sijui kama utaweza kuvumilia kuona damu ya mtoto kwenye Tiles baada ya kubamizwa
 
Dah inasikitisha yani Nimeangalia nikiwa nimefumba macho.
 
Mmmh, yawezekana analipiza kisasi, na kashakata tamaa hivo kaamua kuua,, then naye anajiua baada ya hapo
 
Back
Top Bottom