Mfanyakazi wa ndani uarabuni akiwatesa watoto wa tajiri yake

Please ondoa hii video naomba hii inaonesha mtu ana record wala sio security camera unawezeje mtu kufanya kitendo kama hichi kwa watoto? nimeamini kuna binadamu wana roho za kishetani hakuna sababu yoyote ya binadamu kufanya jambo kama hili. Namuheshimu mke wake hili alilikataa kabisa watoto analea mwenyewe anasaidiwa kazi zingine tu lakini sio la watoto.
 
Swali la kujiuliza je ni kwa nini anafanya hivyo ?

Nb: sija justify matendo yake ila waajiri huwa wananyanyasa sana hawa wadada hasa uko uharabuni tena ukiwa mswahili hivyo wanalipiza kwa watoto au kuwafanyia uchafu mfano kama yule dada hapa bongo aliyedakwa na cctv camera aliekuwa akinyea vyombo vya kupikia jikoni sio mgonjwa wa akili ila alikuwa akiteswa
 
Nimeona nisome comments kabla ya kufungua video.

Kuna vitu vinaumiza sana unaweza kujikuta unakuwa affected sana. Na kulingana na comments sitafungua video aisee.
Na bora usifungue [emoji3][emoji3]

Utaumwa na tumbo la uzazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…