Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Kuna shida mahali kama huyo dada sio mgonjwa wa akili kutakuwa na motive behind kwa hayo anayoyafanya hawa wadada wa kazi za ndani kuweni nao makiniDah[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22] nimeumwa lile tumbo
Huyu mfanyakazi ni binadamu katika mwili lakini ni shetani ibilisi mwenyewe katika roho
Swali la kujiuliza je ni kwa nini anafanya hivyo ?
Nb: sija justify matendo yake ila waajiri huwa wananyanyasa sana hawa wadada hasa uko uharabuni tena ukiwa mswahili hivyo wanalipiza kwa watoto au kuwafanyia uchafu mfano kama yule dada hapa bongo aliyedakwa na cctv camera aliekuwa akinyea vyombo vya kupikia jikoni sio mgonjwa wa akili ila alikuwa akiteswa
Kuna shida mahali kama huyo dada sio mgonjwa wa akili kutakuwa na motive behind kwa hayo anayoyafanya hawa wadada wa kazi za ndani kuweni nao makini
Upo sahihi kabisaSwali la kujiuliza je ni kwa nini anafanya hivyo ?
Nb: sija justify matendo yake ila waajiri huwa wananyanyasa sana hawa wadada hasa uko uharabuni tena ukiwa mswahili hivyo wanalipiza kwa watoto au kuwafanyia uchafu mfano kama yule dada hapa bongo aliyedakwa na cctv camera aliekuwa akinyea vyombo vya kupikia jikoni sio mgonjwa wa akili ila alikuwa akiteswa
Wala sikushauri ufungue maana sikuwahi kufikiria kama kuna mwanamke mwenye roho ngumu kiasi hiki, anavipiga makofi, anakinyanyua juu kisha anakiachia kinaanguka chini kama kimeanguka kutoka ghorofani, anamaliza kwa kukikaba hadi kinatoa ulimi nje na macho kama kinataka kufaNimeona nisome comments kabla ya kufungua video.
Kuna vitu vinaumiza sana unaweza kujikuta unakuwa affected sana. Na kulingana na comments sitafungua video aisee.
Mara nyingi iko hivyo,zile hasira anapeleka kwa watoto.na ndo maana yeye mwenyewe anarecord hiyo video.What if treatment anayogewa na wazazi kairudisha kwa mtoto?
Mkuu huenda ulikuwa na nia nzuri tu kunihabarisha but its too much of a narration bila hata kutizama video.Wala sikushauri ufungue maana sikuwahi kufikiria kama kuna mwanamke mwenye roho ngumu kiasi hiki, anavipiga makofi, anakinyanyua juu kisha anakiachia kinaanguka chini kama kimeanguka kutoka ghorofani, anamaliza kwa kukikaba hadi kinatoa ulimi nje na macho kama kinataka kufa
Huyo akipigwa shaba atakua hatendewi haki
Mimi nitaanza kumbaka kwanza kisha nitakodisha wahuni nao wambake wamuingilie kinyume na maumbile mpaka afe, yaani inatakiwa afe kifo chenye mateso makali
Mimi ni Baba wa watoto wawili nakuruhusu unifanyie uhuni wowote ule lakini wanangu kaa nao mbali
Kifupi hapo ningekuwepo hao watoto wasingefanyiwa hayo mambo, unaacha kudili na boss wako unatesa viumbe wasio na hatia
Kwanza kwenye ishu ya watoto huwa sinaga utani mimi
Ni bora nilivyokuhadithia kuna mwanaume mwenzangu hapa kazini kashindwa kuiangalia hadi mwishoMkuu huenda ulikuwa na nia nzuri tu kunihabarisha but its too much of a narration bila hata kutizama video.
That was totally uncalled for. Ningetaka details zote hizo ningefungua video.
mhh!!! uarabuni tena huyo ajitayarishe kukojolewa kinyeoni.Mfanyakazi wa ndani uarabuni akiwatesa watoto wa tajiri yake kamera imemkamata
View attachment 2129074
Siamini katika hiloMfanyakazi wa ndani uarabuni akiwatesa watoto wa tajiri yake kamera imemkamata
View attachment 2129074