mfanyakazi wa ndani

mfanyakazi wa ndani

nickson1987

Senior Member
Joined
Aug 16, 2011
Posts
191
Reaction score
24
nahitaji mfanyakazi wa ndani kwa aliyetayari, na kuishi kwa mwajiri, wapo watoto wawili na mama mmoja tu mshahara shs 50,000/= kama yupo tayari anipigie 0714 064767
 
nahitaji mfanyakazi wa ndani kwa aliyetayari, na kuishi kwa mwajiri, wapo watoto wawili na mama mmoja tu mshahara shs 50,000/= kama yupo tayari anipigie 0714 064767
Mkuu maelezo hayajitoshelezi niwapi unakaa?
Funguka zaidi?
 
piga simu kwa huyu bwana anahusika na kutafuta wasichana wa kazi amesaidia wengi waliohitaji. ni 0777723335 na 0754331397. ukifanikiwa nijulishe.
nahitaji mfanyakazi wa ndani kwa aliyetayari, na kuishi kwa mwajiri, wapo watoto wawili na mama mmoja tu mshahara shs 50,000/= kama yupo tayari anipigie 0714 064767
 
Mkuu hawa public search home assistants mara nyingine hugeuka kuwa nightmare kwa home.
Ila ushauri wangu ni kufika pale ubungo stand (muda utakaopanga) uonane na bus conductors watakupa utaratibu wa namna ya kumpata atakayekidhi vigezo unavyohitaji. Wanawasili mjini kila siku na wajanja wanawadaka kisha kuwatumia wajuavyo ili kuwaingizia kipato.

Bar-maids wengi hupatikana njia hii pia.
 
Back
Top Bottom