MFANYAKAZI WA SHIFT YA USIKU

MFANYAKAZI WA SHIFT YA USIKU

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
2,577
Reaction score
4,637
Kama anahitajika mfanyakazi wa shift ya usiku...anapatikana.

Ana elimu ya Degree katika Biashara marketing and hospitality
Mjuzi na mwenye uzoefu wa matumizi ya COMPUTER, kwenye;-
Ms Word
Ms Powerpoint
Ms. Excel
Publisher
Graphics Designing

Mtu wa dini MchaMungu, muaminifu wa hali ya juu, na mtu makini mno.
Maeneo ya Dar es salaam.

Simu kwa mawasiliano zaidi: 0627410088
 
Back
Top Bottom